Uko alipo kila baada ya miezi 3 ni mwaka mpya
Unawamiss wasiokutambua wala kukumiss, haya ni maajabuNimewa miss humu ndani!! ๐โค๏ธ
Nimekuwa nje ya jf 2 yrs๐ฅฒ
Uzi tayari!!๐
Unaweza kukuta hata hizo ID zinazomkaribisha na kujifanya zilim miss ni za kwake pia,
Yani anajikaribisha mwenyewe.
๐๐
Ni ww ndio unijui kaa kwa tulia spupid!!!๐Unawamiss wasiokutambua wala kukumiss, haya ni maajabu
Shogaa ang we naye mbea mbea khaah!! ๐๐
Nakupenda mwaya ๐Baby umeniquote lakini hujaandika kitu
๐lakin si unaona uzi upo jukwaa gan??Siku nyingine usituongopee vitu vya wazi namna hii
Nakupenda pia baby,... Kifo tu ndio kitatutenganisha ๐Nakupenda mwaya ๐
Ndiyo ivyoAseee kwa uzi huu for real baada ya miezi mitatu ni mwaka
Jukwaa la uongo baada ya kuwa busted ๐๐lakin si unaona uzi upo jukwaa gan??
Nipende tuNakupenda pia baby,... Kifo tu ndio kitatutenganisha ๐
UbhutunguluYa nyoko
Unachokoza usijokimudu bora uitulize tu kabla haijakunyeshea.Ni ww ndio unijui kaa kwa tulia spupid!!!๐
Cha ukochokozi ๐๐๐Twinnie na wewe si umeona tunaongopewa
Lol... JF FBI on the one and two๐๐2yrs kwa ID ipi?
February ulikuwepo mwaka huu 2025
November mwaka jana 2024 ulikuwepo
Kwamba!!! embu inyeshe tuone panapo vuja ๐usitishie watu na upwiru wako kwendraaaa๐Unachokoza usijokimudu bora uitulize tu kabla haijakunyeshea.
Usiletee watu stress zako hapa
IQ yake ni ndefuuu ๐Cha ukochokozi ๐๐๐
But I really like your brain
๐ mtu wa system huyu walaa ๐Lol... JF FBI on the one and two๐๐