Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 758
- 909
- Thread starter
-
- #61
๐watu ni wafukunyuku khaa!Kwenye huu mji ukiwa muongo hakikisha kumbukumbu zipo๐
Usiwe serious sana dearMtu anaongopa jambo kama hili....ajabu!!!
Heee ๐ sijawahi kuwa na IDs zingine zaid ya hiiOptions za kuwa na fake IDs zaidi ya moja ndizo faida zake hizi.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wala hata punguza u-serious mpenzV.A.R tayari ishakabia kwa juu ๐น๐น
Yani ukute kajisahau kajua katumia id yake aliyoitelekeza kumbe yupo na ile ile..!!
JF ina ma GT vichaa ๐คฃ
Haya ww mwenye faida uko wap?Bora hata usingerudi,
Huna faida yeyote ile humu zaidi ya ujinga ujinga tu.
๐we unaakiliameleta ka jokes kidogo
Ya nyokoMbombo ngafu
Thank u dear๐Ooh! Welcome
Safi kabisa ,taja mahakama yako ilipo ninazo connection za huko waharakishe jambo tuoane tu maana sasa huwezi kuwa unateseka na limtu libaya na mimi nipo mpenziNasubir talaka mahakama ๐
V.A.R tayari ishakabia kwa juu ๐น๐น
Yani ukute kajisahau kajua katumia id yake aliyoitelekeza kumbe yupo na ile ile..!!
JF ina ma GT vichaa ๐คฃ
Mahakama ianyosikiliza kesi ya lisuSafi kabisa ,taja mahakama yako ilipo ninazo connection za huko waharakishe jambo tuoane tu maana sasa huwezi kuwa unateseka na limtu libaya na mimi nipo mpenzi
"Kwa id hii hii"
Achana huyu kuna wale wa kuaga, wale ndio huwa nawashangaa sana.
Mtu anaaga ati hatatumia jf kwa kipindi fulani ila kabla hicho kipindi hakijaisha anaibuka tena ๐๐, kina dada mnapenda sana attention.
We ni mshenzi ๐V.A.R done! ๐
Uchokozi ๐๐
TeknolojiaaaaIle meme inayosema TEKINOLOGIA TEKINOLOGIA naikubali sana!
Wa kujitegemea ๐Mtafiti
Kesho nitakuwa hapo Dar es salaam hivyo weka namba yako PM nikitua hapo tukamuone hakimu aharakishe jambo hilo aiseeMahakama ianyosikiliza kesi ya lisu
Hahahaa. Pacha nakugawa. ๐๐
TayarKesho nitakuwa hapo Dar es salaam hivyo weka namba yako PM nikitua hapo tukamuone hakimu aharakishe jambo hilo aisee