Nimevutiwa sana na JF.

Nimevutiwa sana na JF.

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
5,424
Reaction score
8,046
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.
 
karibu sana mkuu lakini salimia kwanza wenyeji ndo utamaduni wetu sisi wadanganyika..
 
Mimi ndio kwanza naingia hapa jf nimepapenda sana, naomba kujumuika nanyi wakuu.

Karibu sana Mkuu, hapa jamvini pako poa sana ukiondoa mambo madogo madogo ya hapa na pale. Karibu ujisikie nyumbani kabisa, ila uangalie usiwe addicted tu na hii kitu inaitwa JF 🙂🙂
 
Karib sana. Naitwa klorokwini, na huyo hapo juu ndio gozo, akikasirika yeye na JF server inagoma pia
Ungempa hii warning hapa chini!
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Karib sana. Naitwa klorokwini, na huyo hapo juu ndio gozo, akikasirika yeye na JF server inagoma pia

Na huyu ndio Klorokwini, una bahati sana kukaribishwa nae maisha yako hapa yatakuwa poa.
 
Nashkuruni kwa kunikarbisha! Wakubwa shikamoon, vijana wenzangu mambo vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom