Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Mh! kwaa kweli.sema na wewe jikaze kiume endelea na shughuli zako kama kawaida huku ukiwa na nguvu ya mwenyezi mungu. au we ni semi - heathen
 
Bujibuji na wote katika uzi huu: Mimi nafanya utafiti katika mambo ya ajabu ajabu au kwa kiingereza exta-normal au paranormal events. Hii ni research binafsi. Nimeshuhudia simulizi nyingi sana ambazo nilizi-analyze systematically na kugundua mambo ya ajabu mengi mno.

Kwa hili la Bujibuji kama ni ukweli basi linashabihiana sana na kanuni za mambo ya kishirikina ya hali ya juu yafanywayo na watu ambao wana ushirika mkubwa na shetani kwa ajili ya faida za kidunia. Watu hao huku kwetu tumezoea kuwaita Freemasons pamoja na kwamba sio Freemasons kwa maana halisi ya watu hawa.

Kwa kifupi tu; watu hao wanataka kuku-initiate au kukuingiza katika chama chao ili ukatumikie kama devil worshiper au satanist. Yawezekana kabisa "pombe" uliyonyweshwa sio pombe bali ni DAMU ya binadamu. Visa kama hivi ni vingi sana katika utafiti wangu, watu wananyeshwa vinywaji mbalimbali visivyoeleweka lakini baadaye hugundua kwamba ilikuwa ni damu. Damu ya binadamu hutumika sana kufanya maagano ya kishetani na katika satanic initiations.

Walichofanya hao maagent wa shetani ni kukutengenezea mazingira ya kuku-kutanisha nao na kukupatia dili. Wala hapakuwepo na BMW wala hukugonga gari katika mazingira ya asili, ni mazingaombwe tu yamefanyika. Sasa wamekuwekea ndowana/mtego kwamba uwe unakuja kumsalimia huyu jini uliyemwona, huu ni mtego kwamba kila uendapo utaanza kuambiwa dili zenyewe na itakuwa hivi kwa kifupi kabisa:

Utaambiwa tu uwe mmoja wao....lakini baadaye utapewa fedha nyingi na michongo mikubwa mikubwa ya kupata chochote utakacho na kweli "utapata kila kitu",....ila baadaye utaambiwa kikubwa zaidi....kutoa kafara.

Fedha uliyochukua ndio kifungo chako, manake wamewekeza kwako na wanakuwa na mamlaka na wewe. Usile fedha hiyo wala kuitumia kwa lolote lile. Nakushauri rudisha fedha yote usibaki hata na senti moja. Halafu haraka sana tafuta mtu wa kweli wa Mungu mwenye kuombea akuombee na kukutakasa. Kuna mengi zaidi lakini fanya hayo haraka sana kabla ya hiyo Jumapili.
Usichukulie kila kitu serious hyo ni story tu ya kutunga
 
Sasa mkuu arudishaje wakati elf50 alishaitumia kwa bodaboda, mbwai mbwai tuu azitumie maji alishayavulia nguo, uoga wako ndio umaskini wako
Bado ana nafasi ya kurudisha ila kama haiwezekani basi angalau asitumie chochote kilichobaki ni hatari kwake.
 
Hii si chai ni Al-kasusu...lete 2 tafadhali!

Everyday is Saturday...😎
 
Kama akitaka kudhuriwa hawez kukwepa kitendo cha yey kuingia kwa uyu mzee na kunywa alishajiunga nae km ndvyo. Mda mwngne uoga wako ndio umaskini wako. Fuata kwa alichokuambia ela ya Kodi lipa Kodi naamini hamna chochote kibya kitakachotokea.. sijakataa mtu anaweza kuwa mbaya ila sehemu moja lazma mungu akubariki, Kuna watu wanaishi na majini ila wanahuruma na wanasaidia watu, Sasa wajinga ndio huamini anapokusaidia ww kile alichokuwa nacho kitakudhuru sio kweli,Tusipende kuwa na negative thought kwa kila suala
Bado ana nafasi ya kurudisha ila kama haiwezekani basi angalau asitumie chochote kilichobaki ni hatari kwake.
 
Hii movie Kama Ile inayoitwa return of the ghost kid

Wewe jamaa acha uongo hali imebana Kaka,acha utani, huyu jamaa akupe mahela yote hayo ili iwe nini??
 
Kama ni kweli, Utajiri una mambo mengi nyuma ya pazia.
 
Back
Top Bottom