Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Bujibuji na wote katika uzi huu: Mimi nafanya utafiti katika mambo ya ajabu ajabu au kwa kiingereza exta-normal au paranormal events. Hii ni research binafsi. Nimeshuhudia simulizi nyingi sana ambazo nilizi-analyze systematically na kugundua mambo ya ajabu mengi mno.

Kwa hili la Bujibuji kama ni ukweli basi linashabihiana sana na kanuni za mambo ya kishirikina ya hali ya juu yafanywayo na watu ambao wana ushirika mkubwa na shetani kwa ajili ya faida za kidunia. Watu hao huku kwetu tumezoea kuwaita Freemasons pamoja na kwamba sio Freemasons kwa maana halisi ya watu hawa.

Kwa kifupi tu; watu hao wanataka kuku-initiate au kukuingiza katika chama chao ili ukatumikie kama devil worshiper au satanist. Yawezekana kabisa "pombe" uliyonyweshwa sio pombe bali ni DAMU ya binadamu. Visa kama hivi ni vingi sana katika utafiti wangu, watu wananyeshwa vinywaji mbalimbali visivyoeleweka lakini baadaye hugundua kwamba ilikuwa ni damu. Damu ya binadamu hutumika sana kufanya maagano ya kishetani na katika satanic initiations.

Walichofanya hao maagent wa shetani ni kukutengenezea mazingira ya kuku-kutanisha nao na kukupatia dili. Wala hapakuwepo na BMW wala hukugonga gari katika mazingira ya asili, ni mazingaombwe tu yamefanyika. Sasa wamekuwekea ndowana/mtego kwamba uwe unakuja kumsalimia huyu jini uliyemwona, huu ni mtego kwamba kila uendapo utaanza kuambiwa dili zenyewe na itakuwa hivi kwa kifupi kabisa:

Utaambiwa tu uwe mmoja wao....lakini baadaye utapewa fedha nyingi na michongo mikubwa mikubwa ya kupata chochote utakacho na kweli "utapata kila kitu",....ila baadaye utaambiwa kikubwa zaidi....kutoa kafara.

Fedha uliyochukua ndio kifungo chako, manake wamewekeza kwako na wanakuwa na mamlaka na wewe. Usile fedha hiyo wala kuitumia kwa lolote lile. Nakushauri rudisha fedha yote usibaki hata na senti moja. Halafu haraka sana tafuta mtu wa kweli wa Mungu mwenye kuombea akuombee na kukutakasa. Kuna mengi zaidi lakini fanya hayo haraka sana kabla ya hiyo Jumapili.
mkuu nimekuelewa sana ze way ulivyochambua, nina swali hizo pesa anatakiwa arudishe wapi
 
Wkt alipokua anapokea zile pesa engelisema Asante Sana na nashkuru kwa kunisamehe na ungeondoka

Yani unapewa milioni 3
Unapewa laki 5.
Unapewa 50
Unapewa laki 3

Yani ww unapokea tu aisee kuwa makini chukua laini badilisha kwa mda

Tena io laini utakayo badilisha usisajili kwa jina lako sajili kwa kitambulisho tofauti

Kwani endapo ukisajili kwa kitambulisho cha mwanzo ni rahisi kupatikana
 
Bujibuji kuja usome hapa.
 
mkuu nimekuelewa sana ze way ulivyochambua, nina swali hizo pesa anatakiwa arudishe wapi
Anapaswa kurudisha kwa aliyempatia. Najua itakuwa vigumu kwani hivi sasa wanamfuatilia na wasingependa arudishe kwani wao hawana shida na hela hata kidogo huo ni mtego tu. Anaweza ashindwe kwenda kwa wale watu kama itakuwa hivyo basi abaki tu kwenye maombi lakini ya uhakika.
 
Kosa ulilofanya ni kutamani na kutumia hizo hela? Kwisha habari yako.
 
Bujibuji na wote katika uzi huu: Mimi nafanya utafiti katika mambo ya ajabu ajabu au kwa kiingereza exta-normal au paranormal events. Hii ni research binafsi. Nimeshuhudia simulizi nyingi sana ambazo nilizi-analyze systematically na kugundua mambo ya ajabu mengi mno.

Kwa hili la Bujibuji kama ni ukweli basi linashabihiana sana na kanuni za mambo ya kishirikina ya hali ya juu yafanywayo na watu ambao wana ushirika mkubwa na shetani kwa ajili ya faida za kidunia. Watu hao huku kwetu tumezoea kuwaita Freemasons pamoja na kwamba sio Freemasons kwa maana halisi ya watu hawa.

Kwa kifupi tu; watu hao wanataka kuku-initiate au kukuingiza katika chama chao ili ukatumikie kama devil worshiper au satanist. Yawezekana kabisa "pombe" uliyonyweshwa sio pombe bali ni DAMU ya binadamu. Visa kama hivi ni vingi sana katika utafiti wangu, watu wananyeshwa vinywaji mbalimbali visivyoeleweka lakini baadaye hugundua kwamba ilikuwa ni damu. Damu ya binadamu hutumika sana kufanya maagano ya kishetani na katika satanic initiations.

Walichofanya hao maagent wa shetani ni kukutengenezea mazingira ya kuku-kutanisha nao na kukupatia dili. Wala hapakuwepo na BMW wala hukugonga gari katika mazingira ya asili, ni mazingaombwe tu yamefanyika. Sasa wamekuwekea ndowana/mtego kwamba uwe unakuja kumsalimia huyu jini uliyemwona, huu ni mtego kwamba kila uendapo utaanza kuambiwa dili zenyewe na itakuwa hivi kwa kifupi kabisa:

Utaambiwa tu uwe mmoja wao....lakini baadaye utapewa fedha nyingi na michongo mikubwa mikubwa ya kupata chochote utakacho na kweli "utapata kila kitu",....ila baadaye utaambiwa kikubwa zaidi....kutoa kafara.

Fedha uliyochukua ndio kifungo chako, manake wamewekeza kwako na wanakuwa na mamlaka na wewe. Usile fedha hiyo wala kuitumia kwa lolote lile. Nakushauri rudisha fedha yote usibaki hata na senti moja. Halafu haraka sana tafuta mtu wa kweli wa Mungu mwenye kuombea akuombee na kukutakasa. Kuna mengi zaidi lakini fanya hayo haraka sana kabla ya hiyo Jumapili.
MUNGU nirehemu mja wako, hakika naona dunia imenielemea. Hakika nahitaji msaada wako Jehovah, niondoe kwenye janga hili
 
Wkt alipokua anapokea zile pesa engelisema Asante Sana na nashkuru kwa kunisamehe na ungeondoka

Yani unapewa milioni 3
Unapewa laki 5.
Unapewa 50
Unapewa laki 3

Yani ww unapokea tu aisee kuwa makini chukua laini badilisha kwa mda

Tena io laini utakayo badilisha usisajili kwa jina lako sajili kwa kitambulisho tofauti

Kwani endapo ukisajili kwa kitambulisho cha mwanzo ni rahisi kupatikana
Nilichanganyikiwa mzee, hamu yangu yote ilikuwa nitoke tu kwenye lile jumba
 
Back
Top Bottom