Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

Nimevurugwa na nilichokiona, naombeni msaada wenu

We Bujibuji huwa na storee nyingi nyingi sana za ajabu[emoji1787][emoji1787][emoji16]

Halafu kila storee yako lazima ihusishe mipesa[emoji1787][emoji1787][emoji16]

Sijawahi kuamini vistory vyako hata chembe

Asee nimecheka eti " mara niuite mfalme, uncle mara boss" haaaahaaa
Naamini tu, Mungu Baba wa Mbinguni atakubariki
 
Kwa tuliokaa mbezi beach hayo ndio maisha ya wengi huko,watu wanahela man acha kabisa,nilikaaga huko enzi nasoma duh
 
Jk12 pita huku please
IMG_20200926_075126_532.jpg
 
Hapo mkuu hukugonga Gali ulimgonga huyo anayemuiata rafk yko
 
Mkuu bujibuji sio chai hii......we tumbua pesaa bro hela haina shetani,we kila jumapili nenda huku ukisha kuwa umekulaa kitimoto yako sotojo
 
Polee asee....hiyo ndo ilikua njiaa ya kutoboa asee.ila chungaa mzee baba asiwee anapita pita huku akaona Uzi.
 
Kwa hiyo huyo msukule hajakugonga hadi leo hata kwenye ndoto?
 
Back
Top Bottom