Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,770
- 59,109
Hongo staki!Vocha eeeh!
Haya natuma
Hongo staki!Vocha eeeh!
Haya natuma
Hakupendi huyo kabisaa. Angalia ustaarabu mwingine ndugu.
1. Kama hujawahi shukuru na usijaribuNOTE: Cjaahi kukutana naye kimapenzi. Sasas nimechoka cos naona naumiza roho yangu bure, nimeamua kuacha kuwasiliana naye mara kwa mara. Sasa hivi nina kama cku 5 cjawasiliana naye na yeye pia kakaa kimya.. Nimeamua uamuzi huo lakini naona nauma pia. Je wanajamvi niendelee kumsumbua, ama nitumie njia gani. Plz........ :shock:
Kashindwa voda fasta ya 300, ije handbag?
Una maana gani!
Kwamba msichana hana maslahi yoyote katika vekesheni ya B'Moyo?
Au wakiamua kufanya penzi huko maporini, mwanaume anakuwa kwenye position ya command, hivyo anafaidi zaidi?
Msaada!
No wonder hua hawatulii.Mapenzi yamewajaa mifukoni mpaka yanalemea inabidi watafute sehemu nyingine za kupunguzia.
Hilo nalo neno PJ.
Mrembo, huyo jamaa ungekubali tu hali. Manake huko mbeleni atakuja kukutesa manake wewe sio chaguo lake. Dawa chungu pia inaponyesha. Get a life, keep busy na tafuta hobby mpya. Asikufungie baraka za mbinguni!
Una uhakika kuwa hana mke wa watoto nyumbani?
Na kipindi hiki cha sikukuu huenda anaogopa utamdai full-tank, wakati anajua watoto wanataka nguo mpya, na januari ndo kuna ile sikukuu kubwa sana ya kulipia ada za shule!
Wanaume wengi muda kama huu wamewakaukia wale wachumba wao 30, wanajikita kwenye mambo ya familia, maana hayana option!
Msubiri huenda baada ya hizi sikuku ataonekana!
Usife moyo some things need time,kuwa mvumilivu japokuwa jamaa anaonekana hajiamini,endeleza mawasilino na mpe moyo na mtoe wasiwasi!
5 day ni mda mfupi sana - huyu bado analo tu na litamganda hadi apate wa kumtumbua tu.
Yaani mimi sijui nikoje! mwanamke ukinfuata fuata hivyo ndo mawazo yanapotea kabisa. Mwanamke anayenikataa mimi ndo nampenda
Ni miaka minne (4) sasa tangu nimefahamiana na mkaka mmoja. Tulifahamiana wakati ninasoma course flani "c mnajua tena mambo ya kujiendeleza ukubwani" yeye alikuwa mwalimu wangu na ananizidi miaka minne (4). Wakati nasoma sikuwa na feelingsd naye kabisa cos nilumuheshimu kama mwalimu wangu pia nahisi na yeye alikuwa vivyo hivo. Basi sasa baada ya mimi kumaliza hiyo course nilihamia mkoani yeye akabaki Bongo hapo ndipo tulianza mawasiliano kwa muda mrefu na pia tukaanza kuoneshana feelings baina yetu ingawa yeye hakuwa wazi sana. Nilijikuwa nazidiwa ikabidi nimueleze juu ya hisia zangu ila kwa kweli alisita sana na kuwa na wasiwasi "oh yan mimi masikini sina kitu, nitapendwaje ma mtoto mrembo kama wewe" na vitu kama hivo yan hakuwa na uhakika kama ninampenda kiasi hiko.
Kiukwei mimi ninampenda saaaaaaaaana toka moyoni natamani hata angenitamkia kuwa njoo hata sasa hivi tulisukume gurudumu la maisha nisingesita cos ni mtulivu, mpole asiye na makuu. Nimekuwa nikipigia mara kwa mara kuliko yye anavonipigia, ninamtext sms nzrui za kimapenzi ila yeye anakuwa mzito sana. Hata zawadi nimekuwa nikimtumia wakati mwingine lakini yeye hola. hata vocha jamani. Ila kuoana kwetu ni mara moja au mbili kwa mwaka.
NOTE: Cjaahi kukutana naye kimapenzi. Sasas nimechoka cos naona naumiza roho yangu bure, nimeamua kuacha kuwasiliana naye mara kwa mara. Sasa hivi nina kama cku 5 cjawasiliana naye na yeye pia kakaa kimya.. Nimeamua uamuzi huo lakini naona nauma pia. Je wanajamvi niendelee kumsumbua, ama nitumie njia gani. Plz........ :shock: