Nimevunja uchumba wa watu

Asante mkuu. Bado nampenda mwanamke. Kwa namna yake amejotoa kwangu. Ku risk uchumba wake kwa ajili. Yangu. Sina shaka juu ya huu upendo wake
Katangaze ndoa, muoe awe mkeo halali kisha mtafute jamaa ongea naye asiwe na kinyongo nanyi.

Isije fika muda wa kumuoa kisha ukamkuta jamaa akiwa chumbani kwake tena usiku.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namwambia leo hii jamaa... Ipo siku atagundua kuwa jamaa bado anamlaa demu na hapo atakuwa kashamuoaa...[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kosa ulilolifanya lazima upate maumivu yake mapema sana kwa kuwa ulishaambiwa na ukakosa siri.Ingekuwa huku kwetu kwa tukio hilo ungejuta kuzaliwa kabisa.
Nijuavyo hutadumu naye hata ukimuoa maana alichomfanyia mchumba wake nawe utafanyiwa tu.
 
Daaah

Tunapoelekea na mm ntamtelekeza huyu binti
Amini nakwambia Mkuu.. Kama demu aliweza kubali wewe uende kumgongea room kwake na anajua yeye ni mchumba wa mtu na mahari ashatolewa kiukweli ana Akili fupi sanaa... Why asingekuja kwako??? Ipo siku haya yatakukuta wewe ukiwa nae...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namwambia leo hii jamaa... Ipo siku atagundua kuwa jamaa bado anamlaa demu na hapo atakuwa kashamuoaa...[emoji119][emoji119][emoji119]
Hicho ndicho huwa kinanifanya nisitende nisiyopenda kufanyiwa na wengine..maana bora waanze wao kunitendea kuliko nianze kisha wao wamalize.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…