Nimevunja mahusiano hivi punde

Nimevunja mahusiano hivi punde

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,741
Reaction score
3,315
Habari wakuu

Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni

Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya hata kama ana mazuri mengine mangapi.

Nitieni moyo napitia wakati mgumu kwani nilimzoea sana na hata leo kaja na zawadi nyingi kwangu ila nimechagua kesho bora.

Kanisaliti leo hii hii mchana, hakujua kama mtu alokua naye kimahusiano ni rafiki angu wa karibu
 
Why unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..

Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...

Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..

Dunia ipo Tu...usikurupuke
 
Nimekusamehe halafu unamwacha taratibu haha...hii ndio kanuni yangu.
Mtu anaachwa akijua amesamehewa yameisha.
 
Why unafanya maamuzi ya hasira kama vile dunia inaisha kesho?..

Ungeweza kabisa kumwambia ukweli na kumuacha ateseke na guilty ..
Ukamuacha akuombe msamaha huku unavuta
Pumzi ...unajipa nafasi ya kutakafakari..
Na ikiwezekana unamwambia umemsamehe
Unapisha upepo na kumuacha taratibu ..
Hadi siku ya siku unamwambia huku moyo umeshakubali...

Haraka haraka mwisho unajiumiza mwenyewe..

Dunia ipo Tu...usikurupuke
Kafanya maamuz wakati ana hasira, zikija kumuisha ndio ataona kakosea
 
Kwanza hapo hukuwa na manzi na pia huna rafiki. Wote ni ma snitch tu wateme kwa pamoja wakafie mbele.

Umechukua maamuzi ya kiume ila hapo unaposema kuwa unapitia wakati mgumu ndio unazingua. Fanya njaro zako acha kumuwaza huyo wapo wengi sana.

Kikubwa utakuwa umepata funzo fulani.
 
Huyu rafiki angu hakua anamjua ila aliponishirikisha nikamwambia huyu ni girl wangu ila endelea tu utakua unanijulisha mtapofikia na kweli leo amemla mchana
 
Back
Top Bottom