Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Nimevumilia sasa nimeona nitafute mchumba

Namna hiyo...maana vigezo vya mwanamke anaemhitaji ameviweka mezani,ingebidi na yeye aviweke sio mpaka PM. PM ni kwenda kukubaliana...nakujuana vya ziada.

ofcoarse atakua amekusoma
 
Nina Mahala pa kulala I thank God,sipandi daladala pia nashukuru Mungu
Ps:sijisifu naomba nieleweke hapo
Account yangu inatosha kumuhudumia nitakae kuwa Naye na mbali na yote Mimi ni mkulima na Mjasiriamali wa KILIMO
Nafikiri inatosha

Nimekusoma mchumba nakuja pm soon oky?
 
Please msilete utani wenu Kwa PM ntawaanika HAPA JAMVINI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom