Haaa.... FYI wakati wamkol tulikuwa pamoko dry gin ikihusika saaaana...... "Nipo sehemu hata siijui na watu siwajuiiiiii" unaikumbuka hii statement????????
Copy kwa Lily Flower, acha aje hapa umwambie unaumizwaje na mke wa nitonye!
Copy kwa Lily Flower, acha aje hapa umwambie unaumizwaje na mke wa nitonye!
Tena taratibu usijemalizia kuivunja ndoa yangu, we mwenyewe si unaona ishapata ufa?
Yanakuhusu?kumbe bado unaipenda ndoa eeh! Utulie sasa!!!
Copy kwa Lily Flower, acha aje hapa umwambie unaumizwaje na mke wa nitonye!
Tena taratibu usijemalizia kuivunja ndoa yangu, we mwenyewe si unaona ishapata ufa?
Hehehehe! Akija ole wako nikuone unapata kigugumizi cha macho!Kwa bahati nzuri Lily Flower anajua we unatuibia sana pasword zetu....................... afu Lily Flower hawezi kuona hii kitu
nilijua tu tena najua alikuwa anawapa iyo dry gin ni Nicas Mtei dereva wa kidaladala cha msuto kaja na faranga zake huko, i hope mlimnywa vya kutosheeerrrrrrrrrrr
Elizabeth Dominic, nimekumiss as a matter of FACTuwa hatunaga maneno mingi.....lol
Elizabeth Dominic, nimekumiss as a matter of FACT
Hehehehe! Akija ole wako nikuone unapata kigugumizi cha macho!
Umwambie huli, hunywi, huogi na hulali kwaajili yangu! Ole wako.