Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

Umekutana na nyoka wa Tambiko (Mzimu?) basi una bahati sana….πŸ˜…πŸ˜…
 
Watoto wadogo bado wanakuwa hawana instincts za kuogopa wadudu, na vitu kama hivyo, so kila kitu anaona mchezo tu, kwa hiyo hazalishi kemikali zinazotupata tukiwa na hali ya kuogopa, kemikali ambazo nyoko huwa anazihisi ukizitoa, so ndio maana ni rahisi kukuta mtoto anacheza na nyoka, busara hapo ni kutoshtuka na kutafuta mbinu za kumuondoa mtoto au nyoka kwani licha ya kuwa wanacheza inawezekana mtoto akamkandamiza au kumuuma na nyoka akareact. Hatari lakini Salama.
 
Ndege John?
 
Kumbe wananukiaga waliπŸ˜‚
 
Mtwara shuleni nimeona nyoka nkanaanza mbio km zote na mikelele
Wanafunzi wakaja walivomuona wakaanza nicheka"madam huyuu nyoka haumi acha uoga bwanaa"wakamuacha aende
Nilichokaaa
Kumbe we ni mwalimu na upo Mtwara a k a New York of Africa?
 
Ongeza sukari kidoooogo....
 

Hahaa,duu
 
Nyoka kula kwake ni kumeza mkuu, Nyoka ana kula nyama kama chui [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Huyo si nyoka kwa tabia hizo, nyoka hana tabia ya kula nyama kwa kunyofoa minofu na kutafuna kama simba, labda ilikuwa unaota ndoto.
 
Umeingiliwa na nyoka au kenge? Toka lini nyoka ananyofoa manyoya kuku ama ndege, nyoka anameza tu kuku hatafuni hata siku moja.
 
Duhhh...Mungu atulinde Kwa Kweli na alinde hivi vitoto vyetu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Weeeeeeee!!!!nimepata goosebumps

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uongo sio jambo jema, hivi nyoka ana ng'ata na kunyofoa ama ana swalow...πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…