Pole. Ingekua ni mimi ningeng'atwa maana sinaga uvumilivu mbele ya hao viumbe.Nilikanyaga nyoka ,bahati nzuri nilikanyaga upande wa kichwani,niligundua alipoanza kujinyonganyonga mwili na kujiviringisha mguuni,akili ya haraka ikanijia kwamba kwakuwa mwili umeshajifunga mguuni nikiinua kuachia kichwa ataning'ata,nikakandamiza kiatu na kubana kichwa ardhini hadi alipojinyoosha kuashiria amekufa ndio nikamuachia,nikamfungua mguuni kwa mkono nikamtupia mbali.
Ukitoka nduki?Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
SipingiJamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Sipingi mwamba umevamiwa na nyoka,bali napinga huyo nyoka swila/cobra kula jogoo robo..hana tumbo hiloJamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Dah,hii ni chai ya nguvu.Jamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Ukitoka ndukiKuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
Jamaa sijui anatuchukuliaje Yani. Anafikiri anaweza kumuokota kila mtu humu.Sipingi
Sipingi mwamba umevamiwa na nyoka,bali napinga huyo nyoka swila/cobra kula jogoo robo..hana tumbo hilo
Kawadanganye waliokulia mjini sisi wengine tumekulia kwenye makazi halisi ya nyoka. Cobra hatafuni anameza na kama ulimuua kweli weka picha usitake kutuona wote humu wajinga eti anatafuna mapandeJamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Kazi ya mods ni kupiga bann ila uongo kama huu hawafanyi kitu sasa wanatuonaje hawa watuJamaa sijui anatuchukuliaje Yani. Anafikiri anaweza kumuokota kila mtu humu.
Jamaa sikutaka kumbishia kabisa ili nisijifanye mr smart panty. Kiukweli cobra hatafuni anameza na kama cobra sio mkubwa sio rahisi kumua jogoo. Itakua kaona muvi fulani inaitwa Venom Island ndio kuna nyoka hybrid wao wao walikua wanatafuna nyama tu yaani wakikamata mtu anabaki na mashimo mashimo.Kawadanganye waliokulia mjini sisi wengine tumekulia kwenye makazi halisi ya nyoka. Cobra hatafuni anameza na kama ulimuua kweli weka picha usitake kutuona wote humu wajinga eti anatafuna mapande
Akimng'ata sumu inamuua ila hayo mambo ya kutafuna dah katuchota sana kiufupi fb imehamia humuJamaa sikutaka kumbishia kabisa ili nisijifanye mr smart panty. Kiukweli cobra hatafuni anameza na kama cobra sio mkubwa sio rahisi kumua jogoo. Itakua kaona muvi fulani inaitwa Venom Island ndio kuna nyoka hybrid wao wao walikua wanatafuna nyama tu yaani wakikamata mtu anabaki na mashimo mashimo.
Hapo pia pamenitatiza.Duuuh,hilo nyoka la kunyofoa nyama kabisa sijui ni la aina gani kwani wengi huwa wanameza
Hiv nyoka si huwa anameza tuJamani wanajamvi wazima? Hapa kwangu ninaishi na baadhi ya mifugo,nimewajengea mabanda maalumu uani...
Sasa jana jioni tu kuku wangu alishambuliwa mno,na ndiyo nilikuta nyoka ameshaingia bandani.
Yaani alikuwa ameshamuua jogoo sasa anamnyofoa nyama anakula. Nilikuta kashamla robo tayari na anaendelea kumega mapande ya minofu.
Ama kwa hakika nyoka ni hatari,tulimuua kwa msaada wa kerosene pia.
Mkoani nyoka wengi sana...
Mabaki ya kuku tukayafukia.
Kuweni makini jamani. Na nasikia nyoka aina ya kobra huwa wanatembea mume na mke, mkewe tulishamuua na huyu ni mumewe.
Huwa anaweza kuingia hata kupitia upenyo mdogo wageti.kuweni makini mno
NB:nyoka huyu alikua anatafuna kabisa minofu aliyonyofoa kwenye mwili wa kuku. Hii inaonesha ata mtoto mdogo anaweza kumla. Tuwe makini
Hapa Mim nimeshangaa cjaww ona nyoka akitafuna zaid ya kumezaaa...Kawadanganye waliokulia mjini sisi wengine tumekulia kwenye makazi halisi ya nyoka. Cobra hatafuni anameza na kama ulimuua kweli weka picha usitake kutuona wote humu wajinga eti anatafuna mapande
Nyoka hana time na binadamu, ingekuwa anatuwinda watu wengi sana tungekuwa tumeishaumwa na nyoka, nyoka, nyoka anamuuma binadamu kwa ajili ya defence tu pale anapoona maisha yake yapo hatarini.Jamani😢, mimi huwa nikiona tu kwenye TV vile anatembea mwili unasisimka vibaya mno, ila maandiko yanasema pia yamethibitisha binadamu na nyoka ni maadui wakubwa sana☹️
Jamani[emoji22], mimi huwa nikiona tu kwenye TV vile anatembea mwili unasisimka vibaya mno, ila maandiko yanasema pia yamethibitisha binadamu na nyoka ni maadui wakubwa sana[emoji3525]
Daah, mimi sitaki bwana.Sema inabidi ukutane nae siku moja uone show
Sitasahau 2015 nipo kwa bibi likizo…..sasa usiku bibi kaniagiza ndani kuchukua unga kulkua na mwanga hafifu wa mshumaa ile kuingia ndani tu hivi mjomba huyu hapa anazama kwenye gunia za mahindi daah….