litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 731
- 1,377
🤣🤣🤣🤣 Unamaanisha, ulijivika umalaika Kwa muda mfupiKuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
😂 Pole sana.Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu😅
Cobra
View attachment 2603894
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.🤣🤣🤣🤣 Unamaanisha, ulijibika umalaika Kwa muda mfupi
Nacheka kama mazuri🥺😂, pole sana .. mimi huwa sijawahi kuona hao viumbe kabisa vikiwa hai na naomba Sana Mungu nisiwaone maana dah sijui itakuwaje 😢Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.
Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
[emoji23]Kuna eneo linaitwa Nala, Dodoma. Nilimkanyaga huyu nyoka Dec 31 usiku. Nikagundua kumbe binaadamu tunaweza kupaa basi tu uzembe wetu[emoji28]
Cobra
View attachment 2603894
Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea vigumu kuwaua hivyo pindi napokutana nao hua naishia kuwafukuza au kuwapotezea kama wameenda eneo...www.jamiiforums.com
🤣🤣🤣🤣🤣Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.
Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu yaani niliruka juu height kubwa sana nadhani hata masai niliwashinda.
Lakini hili tukio lilinifanya nigundue Mungu fundi sana kwenye upande wa response towards stimulus/Vichochezi.
Yaani ilinichukua muda wa 0.01second kuchukua hatua ya kuruka juu baada ya kumkanyaga. Nilivyomkanyaga mwili ukasisimka nikajiuliza nini hiki nimekanyaga kilaini hivi nikaruka. Yaani ndani ya muda mfupi sana. Nikawa nimefanya practical ya Topic ya Coordination
We faller hata huko usukumani umewahi huona nyoka anakula nyama kwa kunyofoa?🤣🤣🤣🤣 Unamaanisha, ulijivika umalaika Kwa muda mfupi
Nyoka anatisha bwanaNacheka kama mazuri[emoji3064][emoji23], pole sana .. mimi huwa sijawahi kuona hao viumbe kabisa vikiwa hai na naomba Sana Mungu nisiwaone maana dah sijui itakuwaje [emoji22]
Jamani😢, mimi huwa nikiona tu kwenye TV vile anatembea mwili unasisimka vibaya mno, ila maandiko yanasema pia yamethibitisha binadamu na nyoka ni maadui wakubwa sana☹️Nyoka anatisha bwana
Miaka mingi kidogo nilikaa kwenye kibaraza mbele ya nyumba umeme umekatika, Sina hili wala lile
Ghafla nikahisi kitu chenye joto kinateleza kwenye nyayo zote za miguu, sielewi ilikuwaje ila nilisogeza miguu taratibu sana nikawasha tochi ya simu...Kuangalia nyoka ndio alikuwa anajiweka vizuri pale aiseeee niliruka hatari ile speed sijawahi kuwa nayo tukamuua
Siku tatu mbele nipo bafuni naoga nyoka kama yule yule ukubwa ule ule rangi ile ile namuona pembeni nashukuru nilikuwa sijavua nguo sijui ingekuwaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nikatoka mbiiioooo na sikuoga Tena Kwa muda ule
Aiseee mama akaanza kulia wachawi wanamfuata mwanae[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti nyoka yule yule kafufuka..
Siku kadhaa mbele tukaua mwingine ila huyo alionwa na mwingine sio Mimi.
Tukahisi wamezaliwa pale ila hatukuwahi kumuona mama Yao wala baba yao