Nimevaa kanzu...

Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile mbaya ingawa napata shida kidogo kufanya hatua ndefu ndefu nilizozizoea...
Natoa taarifa!
Umevaa kanzu miguuni umevaa kandambili? je koti hukuvaa kama wenzako wanavyovaa?
 
vp swahibu yangu, tasbihi ushazibeba?! mradi tu isije ikawa gia ya kumwingia mtoto wa kisuni..!!
 
vp swahibu yangu, tasbihi ushazibeba?! mradi tu isije ikawa gia ya kumwingia mtoto wa kisuni..!!

una akili kama Nyerere Mkuu...
Kuna 'nikab' moja naifuatilia, nadhani hii itakuwa easy way in. Umenikumbusha na tasbih., naipitia sasa hivi pale Shekha Issa, Magomeni.
 
Weka picha tuone kama kweli umependeza.

Huyo hapo,
Mphamvu.jpg
Ushaniona eeeh?
 
Back
Top Bottom