Nimevaa kanzu...

Nimevaa kanzu...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Kwa mara ya kwanza katika historia yangu, nimevaa vazi hili lenye asili ya Mashariki ya Kati. Moja fulani hivi nyeupe, pamoja na kofia yake yenye muundo wa nyavu nyavu. Nahisi nimependeza ile mbaya ingawa napata shida kidogo kufanya hatua ndefu ndefu nilizozizoea...
Natoa taarifa!
 
mkuu..ina mashart hiyo!
Hakuna kuvaa kufuli ndani ya msuli
 
viatu lazima viwe vya wazi, au wewe umevaa raba???
 
Back
Top Bottom