Nimeupenda ustaarabu wa John Pombe Magufuli

Nimeupenda ustaarabu wa John Pombe Magufuli

Mfumo wa CCM hauwezi kumfanya Magufuli as effective as you think.

Watu mmekuwa mnaimba mfumo wa CCM Ni upi huo? Je huo mfumo unazuia kukusanya kodi kikamilifu? Unazuia kufanya vitu vya maendeleo? Tuambie.
 
watu akili ndogo! Hivi miradi mikubwa kama barabara inaletwa na waziri? huyu si supervisor tu? Anayeweza kupewa credit kwenye miradi ya barabara ni yule aliyekuja na maamuzi ya kuanaza kujenga barabara kwa kutumia pesa za ndani pasipo kutumia mikopo na huyu ni MKAPA. Magufuli alikuwa supervisor tu kitu ambacho waziri yoyote ni wajibu wake na mbele ya mkapa hakuna waziri angefanya ujinga!

Tunataka Kiongozi siyo mnyampara. Rais ni kiongozi hivyo anahitajika mtu mwenye kuona mbali na mwenye kufanya maamuzi sahihi wakati wote yaani mwenyr hekima! Magufuli hana sifa hizo hata moja ni!mkurupukaji tu na ndiyo maana maamuzi yake yote yamejaa uonevu kwa ajili ya kutaka sifa huku akiumiza watu. Kama ukinipa magufuli na Dr.Slaa mimi nitampa Dr.Slaa kwa sababu anazo sifa za kiongozi kwa asilimia kubwa ukimlinganisha na magufuli. magufuli pia yupo ndani ya mfuamo ambao hana uwezo wa kufanya kinyume na waliomweka pale!
Mkuu kumbe hata hufahamu kabisaa ni nani aliyeleta hii dhana ya kujenga barabara kwa kutumiapesa za ndani. Nikuhakikishie kwamba aliyeleta dhana hii na kuisimamia ni Dr. John Joseph Pombe Magufuli wakati wa utawala wa Mkapa. Ukweli ndio huo sasa geuka na kumuunga mkono.
 
Aise kumbe mnalamba madume? Karambeni wenyewe aisee, Dr Slaa ndo Rais pekee atakayewatoa watanzania kwenye minyororo ya mafisadi

Mkuu zumbemkuu bado unayasimamia hayo maneno yako au kesho utabadilika?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tuachane na itikadi za kivyama, tuachane na ushabiki wa kisiasa nikimuangalia john pombe magufuli anavyoongea kila mahali anapopitwa kutambulishwa naamini kabisa tanzania imempata mtu sahihi wa kuivusha katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi na kisiasa. Ukweli mimi huwa naamini zaidi katika personality kuliko uvyama katika wanasiasa wa upinzani kwa wote kwa ujumla nikiwaangalia namuona dkt. Slaa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kabisa kabisa so is magufuli ujue hawa jamaa ni watu ambao wako sirius sana. Nimempenda zaidi magufuli pale anaposema nikiwa rais nitakuwa rais wa watanzania wote si upinzani si ccm na nitawatumikia kwa moyo wangu wote. Sijayapenda zaidi maneno, la hasha bali nimependa namna anavyoyaongea ukweli ni kuwa hata ukimuangalia unaona kabisa kuwa huyu mtu ni mstaarabu. Japo kuna watu wanamkosoa kwa vitu vidogo vidogo lakini naamini kabisa magufuli atashauriwa kwenye vitu vidogo na atakuwa bonge la rais. Bila kusahau amweke muhongo kwenye nishati na filikunjombe apewe tamisemi awakomeshe wakurugenzi wezi ili maendeleo yaonekane fasta

Uchambuzi mzuri. Yaani nimefumba macho sijasoma comments za magaidi na wezi wa chadema maana hao ni mashetani hawana jema. Bosi wao kawauza
 
Back
Top Bottom