King _Of_Everything
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 704
- 1,394
Mtoa mada itakua umepewa ahadi ya donge nono bila shaka.
Magufuli ni kiongozi makini kamwe hii si kashifa...magufuli kashindwa kujibu kashfa ya CAG ya bilion 263 sijui ndio alikuwa anajipanga uraHisi
Akuna jipya hapo kwanza nawashanga mnasema tumelamba Dume kivipi? Ni kipi atakachokifanya nje ya matakwa y ilani ya ccm?
Alipouza nyumba za serikali alikuwa anasimamia serikali gani?
Barabara mbovu zimejengwa chini yake, huo usimamizi ni wa aina gani?
Magufuli ni kiongozi makini kamwe hii si kashifa...
Akuna jipya hapo kwanza nawashanga mnasema tumelamba Dume kivipi? Ni kipi atakachokifanya nje ya matakwa y ilani ya ccm?
Magufuli ni kiongozi makini kamwe hii si kashifa...
Mkuu ninamuda mrefu sijachangia hapa..Nilikua msomaji kwa muda..Naomba nikurekebishe..
Wamepita viongozi wenye kauli tamu kuliko hizo ..Na hakuna lililofanyika..hata JK alishatamka haya maneno..
CCM ni kama kikundi cha mashetani.. Ila jambo la kusikitisha tunadhani tunaweza kumpata Malaika kutoka kwenye hiki kikundi..
Inaonekana wewe ni mwepesi kuwa impressed na vitu vya kufikirika.
Magufuli hawezi kuwa kiongozi bora.
Thats guaranteed.
Tuachane na itikadi za kivyama, tuachane na ushabiki wa kisiasa nikimuangalia john pombe magufuli anavyoongea kila mahali anapopitwa kutambulishwa naamini kabisa tanzania imempata mtu sahihi wa kuivusha katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi na kisiasa. Ukweli mimi huwa naamini zaidi katika personality kuliko uvyama katika wanasiasa wa upinzani kwa wote kwa ujumla nikiwaangalia namuona dkt. Slaa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kabisa kabisa so is magufuli ujue hawa jamaa ni watu ambao wako sirius sana. Nimempenda zaidi magufuli pale anaposema nikiwa rais nitakuwa rais wa watanzania wote si upinzani si ccm na nitawatumikia kwa moyo wangu wote. Sijayapenda zaidi maneno, la hasha bali nimependa namna anavyoyaongea ukweli ni kuwa hata ukimuangalia unaona kabisa kuwa huyu mtu ni mstaarabu. Japo kuna watu wanamkosoa kwa vitu vidogo vidogo lakini naamini kabisa magufuli atashauriwa kwenye vitu vidogo na atakuwa bonge la rais. Bila kusahau amweke muhongo kwenye nishati na filikunjombe apewe tamisemi awakomeshe wakurugenzi wezi ili maendeleo yaonekane fasta
Magufuli ni booonge la kiongozi. Kama hiyo kashfa ipo ataijibu tu ila mimi naamini haipo. Magufuli akiongea unajua kabisa kwamba yale maneno yanatoka ndani ya uvungu wa moyo wake. Huwa anapenda kutumia neno sincerly na kweli huwa anamaanisha anachokisema.
Kwa Magufuli tumelamba dume.
Mkuu siyo Lowassa ama Lipumba?Aise kumbe mnalamba madume? Karambeni wenyewe aisee, Dr Slaa ndo Rais pekee atakayewatoa watanzania kwenye minyororo ya mafisadi
Mkuu siyo Lowassa ama Lipumba?
Aise kumbe mnalamba madume? Karambeni wenyewe aisee, Dr Slaa ndo Rais pekee atakayewatoa watanzania kwenye minyororo ya mafisadi
na mamvi mnamweka wapi? Dr slaa hadi 2030 bana sie cdm tumeamua kychukua gamba la CCM ili tuimalize ccm. Mbowe kauza chama kwa mamvi waliohangaika na kuvunjwa miguuu wanatoa macho kama fundi saa kweli cdm hiki chama nmhuuu kweli ni Sacco's