Mungu kwanza safisanaTuombe Mungu tuishi ili tushuhudie Magufuli akilitendea mema hili Taifa pamoja na watu wake
watu akili ndogo! Hivi miradi mikubwa kama barabara inaletwa na waziri? huyu si supervisor tu? Anayeweza kupewa credit kwenye miradi ya barabara ni yule aliyekuja na maamuzi ya kuanaza kujenga barabara kwa kutumia pesa za ndani pasipo kutumia mikopo na huyu ni MKAPA. Magufuli alikuwa supervisor tu kitu ambacho waziri yoyote ni wajibu wake na mbele ya mkapa hakuna waziri angefanya ujinga!Penye ukweli tuseme,Tanzania inapitika sasa kwa kiwango cha lami tena barabara kubwa mikoa mingi,ukicompare barabara ya mombasa Nairobi na Dar Mwanza au Arusha utajua uzuri barabara zetu,pia sirari hadi nai bado hulinganishi kabisa na barabara zetu.anapostahili pongezi tumpe sio kila kitu kuponda.na siku zote maendeleo ya kweli huletwa na sisi wenyewe.
Kiukweli kwa siasa uchwara za vyama vya upinzani tz ulivyo jamaa anasubiri kuapishwa tu
watu akili ndogo! Hivi miradi mikubwa kama barabara inaletwa na waziri? huyu si supervisor tu? Anayeweza kupewa credit kwenye miradi ya barabara ni yule aliyekuja na maamuzi ya kuanaza kujenga barabara kwa kutumia pesa za ndani pasipo kutumia mikopo na huyu ni MKAPA. Magufuli alikuwa supervisor tu kitu ambacho waziri yoyote ni wajibu wake na mbele ya mkapa hakuna waziri angefanya ujinga!
Tunataka Kiongozi siyo mnyampara. Rais ni kiongozi hivyo anahitajika mtu mwenye kuona mbali na mwenye kufanya maamuzi sahihi wakati wote yaani mwenyr hekima! Magufuli hana sifa hizo hata moja ni!mkurupukaji tu na ndiyo maana maamuzi yake yote yamejaa uonevu kwa ajili ya kutaka sifa huku akiumiza watu. Kama ukinipa magufuli na Dr.Slaa mimi nitampa Dr.Slaa kwa sababu anazo sifa za kiongozi kwa asilimia kubwa ukimlinganisha na magufuli. magufuli pia yupo ndani ya mfuamo ambao hana uwezo wa kufanya kinyume na waliomweka pale!