Nimeupenda ustaarabu wa John Pombe Magufuli

Nimeupenda ustaarabu wa John Pombe Magufuli

Penye ukweli tuseme,Tanzania inapitika sasa kwa kiwango cha lami tena barabara kubwa mikoa mingi,ukicompare barabara ya mombasa Nairobi na Dar Mwanza au Arusha utajua uzuri barabara zetu,pia sirari hadi nai bado hulinganishi kabisa na barabara zetu.anapostahili pongezi tumpe sio kila kitu kuponda.na siku zote maendeleo ya kweli huletwa na sisi wenyewe.

Unalinganisha mtu aliyejenga barabara miaka ya 70 na ya kwako ya Juzi, Ukweli ni kwamba huwezi linganisha Kenya na Tanzania kwa lolote tuko Nyuma tafuta mfano mwingine Mkeku
 
Tuulize tuliofanya kazi naye muda mrefu SI MSTAARABU (asingekuwa anawafukuza wafanyakazi kama mbwa na baadae kurudishwa na mamlaka) NI CHIRIKU WA KUKARIRI NA KUHONGA WANAHABARI. Labda hata wewe uko kwa kazi ya kuhongwa na magufuli. Tusubiri maamuzi ya wapiga kura ILA YANGU HAPATI na sintomtambua hata akipata kwa sababu kama alivyokuwa JK hana cha kudeliver ni mbwa mbwekaji tu wenye mbwa ndio wanaojua.
 
Magufuli ni booonge la kiongozi. Kama hiyo kashfa ipo ataijibu tu ila mimi naamini haipo. Magufuli akiongea unajua kabisa kwamba yale maneno yanatoka ndani ya uvungu wa moyo wake. Huwa anapenda kutumia neno sincerly na kweli huwa anamaanisha anachokisema.

Kwa Magufuli tumelamba dume.

Heri yako wewe uliyepata dume, mimi nataraji uchaguzi unipatie rais. Kumlia YAMINI mwanasiasa wa CCM ni kuidanganya nafsi yako. CCM ni taasisi na Magufuli ni mtu mmoja.

Ufanyie ukarimu ubongo wako, google nani aliuza nyumba za serikali
 
Magufuli ni booonge la kiongozi. Kama hiyo kashfa ipo ataijibu tu ila mimi naamini haipo. Magufuli akiongea unajua kabisa kwamba yale maneno yanatoka ndani ya uvungu wa moyo wake. Huwa anapenda kutumia neno sincerly na kweli huwa anamaanisha anachokisema.

Kwa Magufuli tumelamba dume.
Mkuu,
Siyo dume tu bali ni dume la tembo!

Tanzania ya sasa na kesho inahitaji Kiongozi mwenye haiba ya Magufuli
 
Na kumbe unatambua jembe letu magufuli alipopewa wizara ndipo kafanya yote hayo,so umeagree kimya kimya.Tatizo lenu mnafikiri hatujui utendaji wake mko wrong
na tunasubiri aapishwe kuwa Rais wetu.
 
Mkuu,
Siyo dume tu bali ni dume la tembo!

Tanzania ya sasa na kesho inahitaji Kiongozi mwenye haiba ya Magufuli

Magufuli is no world class leader, ila nitakuwa mnafki kusema he is head and sholders above many in Tanzania. He certainly is not that bad an alternative. WIth Magufuli, i expect some changes in the way things are run,wether positive or negative, that is for time to tell. But with Lowassa,Membe,Migiro and many of other CCM cadres.., i don't expect any changes.., they are too comfortable in their own skin.

In a large picture, though ILani ya Chama still makes Magufuli the new bottle carrying the same wine..,Sasa Lowassa akienda CDM anakuwa ni old wine inaenda kuchanganya na old bottle..,not a good combo at all.Hapa CDM watafanya kosa..,Angalau sasa hiv Dr.Slaa anaonekana kuwa ni new wine, watanzania wanajua Lowassa ni aina gani ya kiongozi, kwani ameshakuwa kiongozi mkuu wa serikali(PM) kwa miaka 2.hakuna jipya lilitokea, na hakuna jipya litatokea.But with Dr.Slaa as president,we at least have hope kuwa kuna jipya lingetokea, whether good or bad.
 
kwahiyo mkuu kuliko kuwa na barabara mbovu ni bora tu tuendelee kuwa na vichaka tufugie simba au sio?!! hahahaha wabongo hua hatuna shukran aisee doooh

Kwahiyo walitenga budget ya kujenga barabara mbovu?
 
Magufuli ni booonge la kiongozi. Kama hiyo kashfa ipo ataijibu tu ila mimi naamini haipo. Magufuli akiongea unajua kabisa kwamba yale maneno yanatoka ndani ya uvungu wa moyo wake. Huwa anapenda kutumia neno sincerly na kweli huwa anamaanisha anachokisema.

Kwa Magufuli tumelamba dume.
Watanzania wengi hawana Mungu, hata kuona maigizo ya magufuli mnashindwa? Hakuna waziri anayependa kuwafanya wanaomsikiliza mazoba kama huyu jamaa. Hata bungeni akishasikia watu wanashangilia anabakia kwenye kitu hichohicho anakirudia rudia ili waendelee kunshangilia. Siku hizi ana maneno yake "nitakuwa mtumishi wenu". Jana au juzi akiwa chalinze alipoona watu wameshangilia basi aliyarudia yale maneno kama mara 3 au 4. kimsingi sioni kama anayosema yanatoka moyoni kwa sababu ya tabia hii ya kutaka watu wamshangilie na kuanza kurudia yaleyale akiwafanya wanaoshangilia kama wajinga. kama huamini fatilia speech zake zote hasa bungeni.
 
Tuachane na itikadi za kivyama, tuachane na ushabiki wa kisiasa nikimuangalia john pombe magufuli anavyoongea kila mahali anapopitwa kutambulishwa naamini kabisa tanzania imempata mtu sahihi wa kuivusha katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi na kisiasa. Ukweli mimi huwa naamini zaidi katika personality kuliko uvyama katika wanasiasa wa upinzani kwa wote kwa ujumla nikiwaangalia namuona dkt. Slaa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kabisa kabisa so is magufuli ujue hawa jamaa ni watu ambao wako sirius sana. Nimempenda zaidi magufuli pale anaposema nikiwa rais nitakuwa rais wa watanzania wote si upinzani si ccm na nitawatumikia kwa moyo wangu wote. Sijayapenda zaidi maneno, la hasha bali nimependa namna anavyoyaongea ukweli ni kuwa hata ukimuangalia unaona kabisa kuwa huyu mtu ni mstaarabu. Japo kuna watu wanamkosoa kwa vitu vidogo vidogo lakini naamini kabisa magufuli atashauriwa kwenye vitu vidogo na atakuwa bonge la rais. Bila kusahau amweke muhongo kwenye nishati na filikunjombe apewe tamisemi awakomeshe wakurugenzi wezi ili maendeleo yaonekane fasta
Kwa Dr.Slaa nakubaliana na wewe, jamaa ni mkweli na humanisha anachosema. Nadhani kutikana na malezi ya dini yake. Magufuli ni muigizaji mzuri, kama hunielewi anagalia speech zake, yeye anapenda kushangiliwa. akisema kitu mkashangilia atakirudia hichohicho hata mara 4. Alikuwa akiyashika kweli mabunge ya ccm, yanashangilia halafu kajamaa akanarudiarudi neno hilohilo au kanaendelea kutaja figures ambazo hamna mtu huwa ana verify kama ni kweli. Nina uhakika kwa asilimia kubwa figure nyingi huwa ni fix tu.

Hii lugha ya "Nitakuwa mtumishi wenu" ni lugha ya kutongozea kura tu kila mgombea anaweza kuitumia na wala hamna proof yoyote kuwa anamaanisha anachokisema. Mtu mzuri wala hahitaji kusrma hayo maneno maana by default hata asiposema anapashwa awe mtumishi wetu labda kama hajui kuwa sisi ndo waajili wake. inashangaza kuona kwamba haya maneno eti ndo yanakufanya uamini kuwa anamaanisha. magufuli ni full muigizaji!
 
Tuachane na itikadi za kivyama, tuachane na ushabiki wa kisiasa nikimuangalia john pombe magufuli anavyoongea kila mahali anapopitwa kutambulishwa naamini kabisa tanzania imempata mtu sahihi wa kuivusha katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi na kisiasa. Ukweli mimi huwa naamini zaidi katika personality kuliko uvyama katika wanasiasa wa upinzani kwa wote kwa ujumla nikiwaangalia namuona dkt. Slaa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kabisa kabisa so is magufuli ujue hawa jamaa ni watu ambao wako sirius sana. Nimempenda zaidi magufuli pale anaposema nikiwa rais nitakuwa rais wa watanzania wote si upinzani si ccm na nitawatumikia kwa moyo wangu wote. Sijayapenda zaidi maneno, la hasha bali nimependa namna anavyoyaongea ukweli ni kuwa hata ukimuangalia unaona kabisa kuwa huyu mtu ni mstaarabu. Japo kuna watu wanamkosoa kwa vitu vidogo vidogo lakini naamini kabisa magufuli atashauriwa kwenye vitu vidogo na atakuwa bonge la rais. Bila kusahau amweke muhongo kwenye nishati na filikunjombe apewe tamisemi awakomeshe wakurugenzi wezi ili maendeleo yaonekane fasta[/QUOT

Don`t be a foolish ..... umeona wapi timu mbovu inabadisha golikipa na kutegemea ushindi ?
 
As much as i don't like CCM. Ukawa has shown itself to be completely incompetent and i cannot see anyone in their top leadership capable of running the country. They are slowly turning into a joke.

Magufuli is not perfect but he is definitely much better than any of the alternatives.

Now if Magufuli was to win the presidency and Ukawa win a lot more parliamentary seats that would be perfect and keep CCM on their toes.
 
Hakuna kitu kama hiko.
Kwa JK mlisema hivyohivyo.

Huwezi kumlinganisha JK na magufuli njia waliotumia kufika hapo ni tofauti sana.
JK alitengenezwa na vyombo vya habari lakini magufuli hakuna gazeti hata moja lililompamba bali ni utendaji wake uliotukuka ndio unaomjenga Kwa wananchi.
Mtu aliyekuwa anajengwa Kwa Style ya JK ni lowassa ya kutumia vyombo vya habari.
 
Tuachane na itikadi za kivyama, tuachane na ushabiki wa kisiasa nikimuangalia john pombe magufuli anavyoongea kila mahali anapopitwa kutambulishwa naamini kabisa tanzania imempata mtu sahihi wa kuivusha katika kipindi hiki kigumu cha kiuchumi na kisiasa. Ukweli mimi huwa naamini zaidi katika personality kuliko uvyama katika wanasiasa wa upinzani kwa wote kwa ujumla nikiwaangalia namuona dkt. Slaa ni mtu mwenye dhamira ya kweli kabisa kabisa so is magufuli ujue hawa jamaa ni watu ambao wako sirius sana. Nimempenda zaidi magufuli pale anaposema nikiwa rais nitakuwa rais wa watanzania wote si upinzani si ccm na nitawatumikia kwa moyo wangu wote. Sijayapenda zaidi maneno, la hasha bali nimependa namna anavyoyaongea ukweli ni kuwa hata ukimuangalia unaona kabisa kuwa huyu mtu ni mstaarabu. Japo kuna watu wanamkosoa kwa vitu vidogo vidogo lakini naamini kabisa magufuli atashauriwa kwenye vitu vidogo na atakuwa bonge la rais. Bila kusahau amweke muhongo kwenye nishati na filikunjombe apewe tamisemi awakomeshe wakurugenzi wezi ili maendeleo yaonekane fasta

= serious
 
Mkuu usiangalie usanii wa mtu. Zile filamu za kiNaijeria wale wasanii wanaweza kuigiza kama wafalme wakubwa, wanaweza kuomboleza na kulia zaidi ya waliofiwa, wanaweza kuigiza kama majambazi na kadhalika. Usimwangalie mtu anavyoongea wala anavyoonekana ukapitisha kuwa tayari huyo ni raisi. Kikwete wakati wote amevaa cheating smile. Ukimchagua kwa tabasamu lake itakula kwako. Angalia sifa zingine za ndani zaidi ya hizo!!!!

Nilidhania Tanzania tunaangalia kubadili system nzima kumbe system inaweza kuwa mbovu ikaweka mtu mmoja safi na watanzania wakaisahau hiyo system ni mbovu inatakiwa kukaa kando wakaja wengine wakarekebisha nao waliotoka watarudi siku moja lakini si kwa sasa kwa danganya ya mtu mmoja. Kwa mwendo huu Tanzania bado tutakuja fika tumekongoloka hatuna meno na magego
 
Magufuli ni booonge la kiongozi. Kama hiyo kashfa ipo ataijibu tu ila mimi naamini haipo. Magufuli akiongea unajua kabisa kwamba yale maneno yanatoka ndani ya uvungu wa moyo wake. Huwa anapenda kutumia neno sincerly na kweli huwa anamaanisha anachokisema.

Kwa Magufuli tumelamba dume.

Tatizo la Tanzania ni system imeharibiwa na chama kilichopo madarakani Magufuli anaweza kuwa safi lakini anatoka mfumo ule ule wa chama tawala. Wenzetu nchi za magharibi chama kilichoharibu huwekwa pembeni hata wasimamishe malaika toka mbinguni hakishindi uchaguzi wanaamini katika chama kilichoboronga kuondoka madarakani na kwenda kujirekebishia nje kikirudi kitakuwa na nidhamu na kujua wapi kiliharibu

Nadharia yao huwezi tengeneza gari huku linatembea inabidi gari liende gereji kutengenezwa na abiria watapanda gari jingine lililogereji likitengemaa kitarudi tena barabarani. Tujifunze ya Kagame alivyokuja na kuichange Rwanda, Kibaki pale Kenya, Museveni pale Uganda kabla ya kuhodhi madaraka muda mrefu na kuanza kuharibu. Kinachotakiwa sasa ni chama kingine chenye sera tofauti sio mchapa kazi bora toka chama kibovu kilichowatendea mabaya wana wa nchi ya Tanzania. We need new start.
 
Back
Top Bottom