Nimeumizwa


Ifike mahari muwe mnakubali matokeo
 
Ni kweli ni mbaya sana kukaa na msichana na watu tena 3 years and then abruptly you just go so simple na kumwambia kuwa now me and you is over nimepata mchumba, na kumbuka hajawahi kukukosea wala hamjawahi kuwa na bifu zaid ya argument ndogondogo za kuwekana sawa tu maana katika maisha hata mzazi wako lazima sometime mnatofautiana mawazo but mnarekebisha and life goes on. Inasikitisha sana maana hata mimi ishawahi kunitokea nimekaa na msichana for 3 good years, rafiki zake kazini wananifahamu na baadhi ya majirani zake wananifahamu pia but at the end of the day it didn't work out simply because of me kusikiliza maneno ya watu while we were approaching to the summit.Nakuambia hii kitu si nzuri isikie kwa mtu.

Sasa hivi mimi nimekuwa mshauri mzuri wa wavulana wenzangu namna ya kuishi na mchumba na namna ya kutosikiliza maneno ya watu maana si kila mtu anafurahi kuwaona mnatoka out w'end mnapitiana lunch mchana kweupe. Iam still regretting myself kwa sababu msichana was innocent lakini kwa kuwa nilikuwa nje kimasomo for that time na maneno nilikuwa napewa tena na rafiki zake na mimi bila kufikiria mara mbilimbili nikakurupuka tu bila hata kumwambia what is the reason behind maan baadhi ya vitu nilivoambiwa nikilinganisha na story na kila kitu vilikuwa kama sawa 100%. Lakini kumbe vyote vilikuwa vya kutungwa and all were a cooked stories but ili bi dada asiweze kufurahia na mimi maisha ya ndoa kisa WIVU TU WA KIKE WA HAO MASHOGA ZAKE. Lakini nakuambia aliezitunga ni zaidi ya zile cvitabu vya hadidhi za Shigongo maana everything was almost kweli

Kwa wasichana tafadhari sana acheni kuwachongea na kuwaongelea wasichana wenzenu kwa wachumba zao ama boyfriend zao mambo ya mnuko na upumbavu, wewe kama hujapata wako tuliza ****** chini jitafakari na sio kumwalibia mwenzako maana angalia sikumuoa na wewe ulieleta umbea wako wa kijinga hujaolewa bado unambwelambela tu.

Na sie wavulana lazima tuwe wawazi haiwezekani uamke asubuhi tu umwambie eti mimi na wewe basi nimepata mchumba,mwambie nimeambiwa wewe upo hivi na hivi na vile and I have done my research and I have found out that me and you marriage wont work out then yeye hapo atapata nafasi ya kujitetea na kuleta ushahidi wa kutosha ambao wewe at the end of the day utakupa ukweli wooooote. Lakini wewe ukishaletewa habari hata bila kuzichuja unakurupuka tu utaumiza wasichana wengi sana. Kumbuka wasichana hawapendani hata kidogo na unaweza kukuta wapo ofisi moja tena wanaletea hata vitafunio asubuhi lakini wakishasikia mwenzao amepata mchumba tena decent basi hapo ndo wanaanza kuchimbua hata habari za alichokifanya darasa la kwanza. So we need to be wise otherwise sio nzuri.
 
Lakini hii haito maanisha chochote kabisa maana ni watu wengi wanafanyiwa hivyo lakini hawa komi!

Me naona njia pekee ya kutatua hili tatizo ni kulinda penzi lako kwa nguvu zote na kuwa makini unapo anzisha uhusiano na mtu!

Kuchunguzana, kwa mfano huyo mtoa mada ana sema amekaa na huyo jamaa kwa miaka 3 bila kujau chochote kuhusu mchumba wake huyu, hapo ni wazi hakuwa ana mchunguza mtu wake na uchunguzi ni muhimu katika mahusiano!
Kwa haraka utagundua kuna kitu huyo mvulana hataki kumuweka wazi huyo binti na inawezekana hana mchumba!
Na kufight back hakuto punguza chochote na wala hakuto cover maumivu.

Kama malipizo yange kuwa ni funzo kwa jamii hasa kwenye mapenzi wala watu wasinge endelea kuumizwa kila leo!

Cha kumshauri ni kuwa makini na muangalifu kwenye mahusiano mengine.

 
pawa Sozia alitishia kujinyonga kwenye mazingaombwe akafa kweli

wanafunzi wanashangilia makeke na manjonjo kumbe mwenzao anakata roho

sasa ni mwaka karibu wa 15 amejitanguliza mbele ya haki.

Kifo hakijaribishiwi

Duh, KONGOSHO umenikumbusha mbali sana wewe mtoto. huo ni mfano hai kabisa asijaribu.
 
shetani tu huyo, jipe moyo utashinda!
 


KUWAACHA HIVI HIVI ni kulea UOZO!!!!!!!!!!! THEY SHOULD GET THE TASTE OF THEIR OWN MEDICINE!!! Hivi mtu kaja in your life, KAKUCHEZEA CHEZEA KASEMA BYE BYE!!!!!! We umekaa tu, umelia wee, LIFE GOES ON!!!!!

Unadhani lile FISADI LA MAPENZI litajua lilichofanya ni kibaya! NOP!!!!!!! Ataona KAWAIDA TU!!!!!!! Ila ukileta VITA VYA WAFILIST, HAKUNA KINACHOELEWEKA, VURUMAI VURUMAI!!!! Tukio unalipa MEGA WATT za kutosha, kila mtu analijua!!!!! LAZIMA ATULIZE MBATA CHINI AJITAFAKARI IMEKUWAJE AMEISHIA IN THAT NIGHTMARE!!!!!!!!! Ndo ataona UBAYA wa tukio lake, na HOW IMPORTANT HE WAS TO YOU!!!!!!! NDO ATAJUA SASA MOYO WA MWANAMKE SI KITU CHA KUCHEZEA!!!!!!!!!! Na next time ATAJITAFAKARI!!!!!!!!!

PEOPLE SHOULD PAY FOR THE CRIMES THEY COMMIT!!!!!!!!PERIOD!
 
Diva wa Clouds yuko kwenye stress sana saiv kutokana na issues zinazoendana na hizi, na hivi majuzi ametishia kujiua....nataka kuamini Divalicious wa JF ndo Diva wa Clouds! Is it Divalicious?
 
nimekupenda wote niliowaacha hakuna aliyefanya hivi duu ni PM
 
Duh, lara1 wewe ni gaidi zaidi ya Osama aisee. Ciello, preta na mwenzenu lara1 hebu changanyeni maujuzi mnaweza kugundua mborometer, hapo mtawakomesha wanaume manunda. Teh teh teh, kazi kwenu. Pole sana mleta uzi, Diva!
 

umenifanya nismile, hiyo ilikua safi, i can imagine, inaumiza na inatia hasira
 
Pole sana Dada jamani bt kweli yametokea
Send me ur mail then i will give u something which will curing that,dont give ur number iTS JUST UR EMAIL ONLY.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…