Sasa mimi nahangaika na drama girls kumbe mpo humu mmejificha, decent girls sometimes wanaboa ndo maana wanaachwa daily, mapenzi ni haki yako ya msingi lazima upiganie kulilinda penzi lako lilipo lisipotee kirahisi..
Vita za kulinda penzi ni zaidi ya great war as sio kirahisi rahiz hata mimi niporwe mchumba nicheke cheke tu.. Labda kama tulikuwa hatupendani lakini kama tulishatoana machozi ya upendo wote.. Lazima iwe vita
Wera weraaaa nilimtambua mapema sana ,so sad 4those galz kuwa na sm sh*t lk that its a pity
ni Monsoon wind.....
Nenda shopping pendeza ,tafuta new hair style.nenda na style ya no contact.ata apige Vipi simu Hakuna kupokea ,tafuta rafiki mpya,nenda college Kama Huna degree.success is the best revange mwananguMi ni msichana aged 25, nimeona nije hapa nimwage mauchungu yangu i believe t will help. Nimekuwa na boyfriend for almost three years nilimpenda mnooo naye alionekana kunipenda alinijali n.k yaani he was agud man tulienjoy nakupendana, siku kama nne hivi zilizopita nashangaa anakuja na kuniambia kuwa ana mchumba alikua naye b4 me na muda wa kuoana umefika, mpaka sasa hivi nashindwa kuelewa hakuonyesha dalili za kuwa na mtu hakutaja na alikuwepo whenever I needed him, im hurt beyond... sijawahi jisikia hivi moyo unauma kuliko ambavyo nimewahi kutuma, I feel confused sijui cha kufanya sijui jinsi ya kureact. Ndo nikaona labda nijimwage hapa lbd itasaidi maana zimepita siku kama tatu nne sioni relief.
kudadadeki mi nilidhani ni peke yangu yaani kuna mtu niliyempenda sana kwa miaka miwili nae kanifungukia wikii hii kwamba eti nae ana mchumba! kah nyie binadamu hawana huruma nikamuuliza kwa hiyo mimi nilikuwa kaka yako siku zote wakati tupo kwenye relation???? Mungu kanipa nguvu nafanya mambo yangu japo kiukweli nimeumia sana nimebeba kisasi kikubwa sana Mungu anisaidie kinitoke!
tupa kule.....mwisho wa siku lazima maisha yaendelee.....
Naona kama zamu yangu inakaribia coz vilio vya mapenzi vimezidi aisee KICHWA KINAUMA KHAAA MAPENZI YA UKWELI YAMESHALIWA NA MBWA AISEE YAMEBAKI MAKWASUKWASU TU.I HATE LOVE
EXACTLY MY REASONS ZA KUTO KUSAMEHEEEE!!!!!1 This kind of MENTALITY!!!!!!!Mtu umemuhurumia anakuona ZOMBIII!!!!! Weeeeeeeeee! ONEA WA MTAANI KWENU HII NI BAD'S NUMBER!!!!!!!!!! Umemfaidi nani? SI NILIKUA NAKUCHUNA!!!!!!!! Uniache hivi hivi SIO MPANGO HUO!!!!!!!!
Ndio umeniacha BT I WILL MAKE SURE I LEAVE WITH YOUR 1. GOOD WILL. 2. RESPECT, 3. EGO, 4. MAN HOOD, 5. SOCIETY INFLUENCE
Nikiondoka NAKUPAKZIA MAMBO KIBAO 1. Hujui lolote Bed, 2. Kibamia 3. Bahili N PEOPLE WILL BELIEVE ANYTHING AS LONG AS YOU COMVISE THEM!!!!!!!
Hata siku mtu akitaja Lara 1 kama unakunywa maji, YANAKUPALIA UKIKUMBUKA MASWAHIBA YALIYOKUKUTA KWA UAMUZI WA KUNIACHA!!!!!
NASISITIZA JAMII INATAKIWA KUVUNJA UKIMYAAAA!!!!!!!! PEOPLE SHOULD PAY FOR EACH CRIME THEY COMMIT TO DESTROY MY LIFE!!!!!!!! (Hakuna Nidhamu ya Woga Hapa)
KOSA AFANYE YEYE, WHY SHOULD I BE ASHAMED!!!!!!! Never sweep dirty under the carpet!!!!!! Mtu HAWEZI KUJA KUJAMBIA JAMBIA MAISHA YANGU FOR 3 YEARS NA KUONDOKA AS IF NOTHING HAPPENED!!!!!! NEVERRRRRRRRRRRRR!!!!
Watu kama hao hawakawii kurudi tena kukuomba uwe Small House!!!!! It will NEVER END until YOU STAND UP FOR YOUR RIGHTS!!!!!!!
KUFICHA FICHA MAOVU NA KUKATAA UKWELI KUWA JITU LIMEHARIBU MAISHA YAKO HAKUJENGI!!!!!!!!! FACE YOUR GHOSTS BEFORE YOU MOVE FOWARD!!!!!!!! Because the past has always a way of cripping into your future. You can run but you can never hide, the past will find you!!!!!!
Kuhusu UBAZAZI SIUOGOPI AS LONG AS I STAND ON THE TRUTH N NOTHING BT THE TRUTH!!!!!!!!!
matured people always wants to release tension and not reloading. so if to you is a matter of seeking attention from other people i would understand but if it is for the case of letting it go forever, then the power of letting go shld drive you and not the power of attention.
huwez kugombana na mtu ukubwan ambaye una possibility ya kukutana nae very often kwenye haya maisha. to me once you are out i take it, that was not meant for me, and also God is protecting me from you. tena hapa ndipo ninapoaanza kuish maisha mazuri zaid ya yale unless niwe ni tegemezi kwake naweza pata shida kidogo ya kumtoa moyoni ila with my guts of seeking money and giving myself nikitakacho lolest! that shall never happen.
ndio maana siku zote huwa nalia na mabainti wadogo juu ya kutaka ukombozi wao hasa wa kiuchumi basi haya mabazazi mbona ni rahisi sana kuwadharau iwapo uko full independent especially cashwise.
ndugu mtoa mada mpotezee huyu hakuwa funu lako, tafuta hela fanya kazi jipe raha wako atakuja tu. tena hkama huyu atakuja na magoti mara ooh! mwanangu anaumwa sina hela ya kumtibia mara ooh! maisha yangu yamekuwa mabaya sana nisaidie mara ooh! wewe ulikuwa na nyota sana ila huyu nlonae wala simwelewi ni mwanamke wa balaa tu maishan mwangu, yaani hapo ndipo utakapokuja kujivunia kumwacha aondoke.
Ushauri mzuri sana. Nakukubali sana dada.. Anachofanya lara 1 ni utoto tu. Akikua ataacha.
Kama wewe ulishawahi "kuutoa moyo wako kwa mwanamke", kwa hakika haiwezekana kuwa " bado ungali hai "...!Kama hauko tayari kuutoa moyo wako kwa mwingine hakuna atakaye kuwa tayari kuutoa moyo wake kwaajili yako!
Haya maneo utayasahau kwani ipo siku utapendwa na utapenda
Ciello hujakua bado, hivi umejiuliza kwann wanawake wengi sana siku hizi n wafanyabiashara tena wakubwa tu?? sababu ni kwamba wanataka kuwa huru maishan na ukweli wanawake wa zamani waliteseka kwa kuwategemea wanaume ila wa siku hizi wamejikomboa. ununda unaousema wewe wa kwenda kumtilia bifu mtu kisa kakuacha hivi iyo ni akili ama matope??? unatakkiwa uwe nunda kwa kusaka hela tena ya kwako kisha umwache ajilize kwa kitunguu anachokikata yeye. huna haja ya kuanzisha mtiti na mtu maishani ila uwe na muda wa kusaka fumba baasi.Mamito hiz theory haziapply nowdays!! Bila kuwa nunda mambo haiendi hayo maneno ya kina mama lwakatare yalifunction kwa wanaume wa enzi za nuhu hk ni .com gnrtn!!
akimuacha aendelee na zoezi lake atasema alikua anatania!Anakutishia tu huyo ili aone reaction yako, unjua sasa wewe ufanyeje nenda pale kwake anapoishi tishia kujiua kwaajili yake, atabadili msimamo wake. Nakuona kweli uanamenda
Hahahaaaaa! GOOD SPIRITS!!! ILA DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE!!!!!!! Siku 90 atampata wapi wa KUMUOA!!!!? Wanaume wa TABU kama nini siku hizi! WHAT ABT THE 3 YRS GOING ON THE DRAIN!!!!!!!!? Dont they MEAN ANYTHING!!!!!!! ANYTHING AT ALL!!!!!?
SAMAHANI LAKINI!!!!!! MAMBO YA WALIMWENGU HAYO!!!!!!!!!!!!