Nimeumizwa

Umri wako mdogo utapata atakayekupenda tena mwonyeshe jeuri kuwa hata bila yeye maisha yatasonga mbele.
 

HAHAHAAAAAAAA!!!!!! Usilolijua LITAKUSUMBUA SANAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!! WAJIONA WANIJUAAAAA UZURIIII!!!!!!! M X wangu WANATIA HURUMA, hakuna MWANAUME BANDIDU!!!! Wanaume mna mpima mtu mkiona ZIMEJAA MNANYWEA KAMA PUTO LILILOTOBOLEWA NA SINDANO!!!!!!!

Na hao WALINITOSA ENZI HIZOOOOO UMRI BADO UNACHEMKA!!!!!!!!! Kwanza NASHUKURU MUNGU(SERIOUSLY) Yule alieoa hakunioa COZ HADI LEO ANAPANDA DALADALA NA KUPANGA 2 ROOMS, NINGEWEZEA WAPI MIE!!!!!!AKUNYIMAE MBAAZI KAKUPUNGUZIA MASHUZI TU!!!!!! NIKO NA MCHAGAA FULL AC, USINIPIME!!!!!!!! Aliniacha ILA NILIMKOMESHA KWA KUMTISHA KUTINGA CHURCH KUBLOCK WEDDING AFU NI WALOKOLE!!!!! IKABIDI ATUBU MBELE YA WAZAZI WAZEE WA KANISA, NA KAMATI YA HARUSI NA KUTAHADHARISHA HUENDA HARUSI ISIWEPO (ILIBIDI AJIHAMI) Mpaka KESHO UKIMTAJIA JINA LANGU ANAKUWA KAMA KUKU KANYESHEWA MVUA!!!! Na angjifanya NUNDA ningeenda kweli coz I HAD NOTHING TO LOOSE!!!

Turudi Xwa pili KAAMUA KUWA MSELA JINSI NILIVO MPA DOZI NENE!!!! Mpaka leo hana demu na hajaoa, hadi mazake ananipigia tusuluishe ANGEJUA!!!!!!!!

NDO NAKWAMBIA HILI JINA KUBWA LA MAADUI LIMENITOSHEA KWELI KWELI
 


I like that, payment for crimes we commit!
 
Umri wako mdogo utapata atakayekupenda tena mwonyeshe jeuri kuwa hata bila yeye maisha yatasonga mbele.


Exactly that the word lazima mtu ajue hata bila yeye maisha yanaendelea tofauti na hapo ni maumivu tu daily
 



dawa yako wewe ilikuwa mimi ingekoma haki ya Mungu!!!!
 
hadi hapo nadhani si mara yako ya kwanza kuona mahusiano yanaenda tenge; inaonekana ni kawaida na pengine kuwaona iliowahusu kuwa hawakuwa makini; ukweli ni kwamba ni vigumu sana kusoma mind za mwenzi wako hata kama utakaa naye kwa muda mrefu kiasi gani, achilia mbali hiyo miaka mi3 ya kwako; mi nasema ukweli ni vigumu kuikubali hali ila pia nakushauri umshukuru Mungu kwani yawezekana anakuepusha na makubwa ambayo pengine yangeweza kukukuta hata kama angekuwa ndo mmeo;
ujumbe mkubwa ni kuwa usijitoe full kwa mtu ambaye si mmeo acha nafasi ambazo mmeo ht kama atakuwa yy aone tofauti ya enzi za upenzi na za mke!
acha papara za kupata mtu wa aina yoyote unayoitaja kwani naye atakuona hivyo hivyo na kukutumia tu then anaondoka na ndo utaumia sana
 

May devil rip ur soul tonite!
 
dawa yako wewe ilikuwa mimi ingekoma haki ya Mungu!!!!

Na wewe DAWA YAKO NI MIMI TU!!!!!!!!! Wallah!!!!!!!! NINGEKUNYOOSHA ZAIDI YA PASI!!!!!!!!!! Sali jioni na umshukuru Muumba kwa KUKUEPUSHA NA MIMI!!!!!!!!! Una bahati ya MTENDE kuota JANGWANI!!!!!!!!!
 
Na wewe DAWA YAKO NI MIMI TU!!!!!!!!! Wallah!!!!!!!! NINGEKUNYOOSHA ZAIDI YA PASI!!!!!!!!!! Sali jioni na umshukuru Muumba kwa KUKUEPUSHA NA MIMI!!!!!!!!! Una bahati ya MTENDE kuota JANGWANI!!!!!!!!!




wewe lara 1 huo usela mavi wako huo ungekoma tu believe me!!!!we wanaume ndo wamekufanya uwe msela kwa kuwa wanakutosa,unajifanya umewazoea uafu usje kuta nishawahi kukumega maana unavyoandika na kiingeleza chako kama kademu kangu fulani nikamega then nikakapotezea some yrs back!!!!
 

Wewe NTOGWISANGU ACHA KUSHOBOKA mtoto wa kiumeeee!!!!! Jeuri ya KUNIKOMESHA HUNAAAAA!!!! Hakuna mwanaume alienitenda alafu ANAUWEZO WA KUKAA NA MIMI BAR MOJA NA KUNILETEA KIBESI!!!!!!!! Thubutuuuuuuuuuuuu!!!! I CHOPP THEM BALLS OFF PSYCHOLOGICALLY!!!!!! Hata zikiwepo HAIFUNCTION MBELE YANGU!!!!!

Hahaaaaaaaa! Eti kama KADEMU KAKO!!!!!!!!! Spare me the Drama WEWE HELA YA KUNITO**A HUNAAAAAAAAA!!!!! PERIOD!!!!!!!! MIAKA 900000000000000000000!!!! Utabakia KUWAZA HIVOHIVO!!!!!!!

HATA UKINAWA KULA HULI!!!!!!!! NA HATA UKIOGA MJINI HUENDI!!!!!!!!!
 
lara 1 hakuna kitu ambacho kinaeza kukuharibia kama ulichokisema na hii ni pale ambapo unapigana na fahali wakati wewe ni kama ndama dume tu hata kupanda hujui.

thank god hao X- wako are down headed to you ila nakuhakikishia wangekuwa ni wababe kama Bazazi ungejuta muda na pesa zako unazotupa kujitangazia kupigwa chini. Myself i believe in secrecy especially kwenye maisha yangu kabisa. i hate pple throwing there fingers over me, manake kwanza hawakujua so hawakua na stori za barazani sasa nimewaambia huon ndo itakuwa stori za kitaa?? je impact yake kwenye maisha ya dada huyu nje ya huyu kijana yatakuwaje?? kwangu mm nashauri asifanye haya.
 
Last edited by a moderator:





mafala hao!!!!!!yaani mtu namwaga minanii yangu mpaka ukismama inakuchuruzika alafu uje uniltete uzushi kwa kukubwaga!!!!sio mimi!!
 
Dada pole sana kwa yaliokukuta, Yawezekana huyu jamaa amempata huyo mwingine karibuni then anaona hio ndio njia sahihi ya kung’oa mizizi yako kwake, au kweli alikua nanyi kwa miaka yote, Vyovyote vile hukustahili hayo.

Uzuri mkubwa wa mahusiano hayana fomula, kwamba ilivyokua kwa huyu itakua na kwangu hivyo hivyo, Hapana. Nakusihi uJipe moyo mkuu, usijaribu kumlazimisha au kujilazimishia kwake, utajaumia kupindukia au yakukute makubwa zaidi, Kaa vizuri na Mungu wako, endelea kujieshimu na kujitunza HAKIKA utapata wa kufanana nawe. Amen
 

NASISITIZA JAMII INATAKIWA KUVUNJA UKIMYAAAA!!!!!!!! PEOPLE SHOULD PAY FOR EACH CRIME THEY COMMIT TO DESTROY MY LIFE!!!!!!!! (Hakuna Nidhamu ya Woga Hapa)

KOSA AFANYE YEYE, WHY SHOULD I BE ASHAMED!!!!!!! Never sweep dirty under the carpet!!!!!! Mtu HAWEZI KUJA KUJAMBIA JAMBIA MAISHA YANGU FOR 3 YEARS NA KUONDOKA AS IF NOTHING HAPPENED!!!!!! NEVERRRRRRRRRRRRR!!!!

Watu kama hao hawakawii kurudi tena kukuomba uwe Small House!!!!! It will NEVER END until YOU STAND UP FOR YOUR RIGHTS!!!!!!!

KUFICHA FICHA MAOVU NA KUKATAA UKWELI KUWA JITU LIMEHARIBU MAISHA YAKO HAKUJENGI!!!!!!!!! FACE YOUR GHOSTS BEFORE YOU MOVE FOWARD!!!!!!!! Because the past has always a way of cripping into your future. You can run but you can never hide, the past will find you!!!!!!

Kuhusu UBAZAZI SIUOGOPI AS LONG AS I STAND ON THE TRUTH N NOTHING BT THE TRUTH!!!!!!!!!
 
usihofu hayo ni mapito ya wengi, be strong ni jambo linaloumiza sana lakini wawez tulia, tafakari kwa mda ila usiliwazie sana chamsingi jiulize nini kimesababisha?
" kama umeumizwa kuwa huru na mpe uhuru, akirudi kuomba msamaha jua ni wa kwako asiporudi jua huyo hakuwa wako tangu mlipokutana na kufahamiana"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…