unless kama huyu
lara 1 hana kazi ya kufanya ila kama yupo bize na kusaka fumba, huyu mwanaume ni mdogo sana tena ni wa kudharauliwa kwa namna ya ajabu. siku zote huwa ninasema ukombozi wa mwanamke ni mfuko wake baasi.
Bazazi akikuletea za kuleta wewe mfukoni geji inasoma, unazidi kujipendezea na kuish maisha mazuri tu. mwanaume sio mtu wa kuendekezwa na kila siku akikuumiza ukilia na kusema nina revenge yaani utakuta husongi mbele una kazi ya kukodi matarumbeta kama
Zinduna kusuta watu.
mume wangu wa kwanza ni kazi yangu, so kama wewe ukileta za kuleta mm nasepa na nabaki kukutizama tu.women shld stop being down headed, in life one mistake is one goal,you come in this side you go through in the other side.