Nimeumizwa

hain aja ya kuumiza kichwa,take as one of zi chalenge na uskulupuke kufany reaction ambazo hazin faida cha msing kubali matokeo na saiv we fany yako atakuj mweny true luv and you will be enjoying again as before.
 
Huyo kama ni mie ningemtafutia midume ya kazi imle 0713 ili atie akili
hakuna kusuta kwa matarumbeta kama alivyosema gfsonwin wala nini, aliwe tigo tu ujinga umtoke mwanaizaya asiyejua mabaya!
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha SWEET GIRL mshiko ndo mpango mzima siku hizi na kutamaniana tu hakuna mapenzi source TIQO
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa namna hii haukusaidii dada. Sisemi hivi kuwalinda wanaume waharibifu. Hapana, katika maisha lazima uamue kwako ni kipi cha muhimu kati ya kuishi maisha ya chuki, hasira na mashindano na maisha ya furaha, amani na upendo. Mwenzako amechagua kuishi kivita vita, anataka wafuasi wa falsafa yake. Naamini huhitaji maisha ya fujo kiasi hicho. In the end you end up resenting others and living yesterday instead of living today. Furthermore, you fail to embark the opportunities that come along with life each day. Kuachwa na mchumba wako yaweza kuwa ni opportunity na advantage kwako. Ni vile tu kama binadamu tuna hulka ya kujali na kuisikiliza mioyo yetu badala ya kusikiliza vichwa vyetu. Umeepushiwa mengi dada ambayo kwa akili za kawaida wewe huoni. Pick your life and move with life. You deserve the best!
 

Hahahaaaaaa!!!!!!!!! Naongezea kidogo hapo juu " JST ACCEPT 3YRS YOU SPENT WITH HIM WERE A BIG JOKE"
 
hain aja ya kuumiza kichwa,take as one of zi chalenge na uskulupuke kufany reaction ambazo hazin faida cha msing kubali matokeo na saiv we fany yako atakuj mweny true luv and you will be enjoying again as before.

She is 25 Halooooooooo!!!!!! Bado hana mtoto mwenzio!!!!!!! Asubiri hadi lini!!!!!? Mind you she waited for 3YRS!!!!!! 366days *3
 
She is 25 Halooooooooo!!!!!! Bado hana mtoto mwenzio!!!!!!! Asubiri hadi lini!!!!!? Mind you she waited for 3YRS!!!!!! 366days *3

******************KUBWA LA MAFRIEND (DIE TRYING BEFORE U GET RICH )******************


unaonaje hapo???
 

acha uduwanzi weye, unadhani huwa unawafaidi au wanakumaliza nguvu zako na pesa zako, hivi kwenye sex nani ana enjoy zaidi,
 
lara1....
Nimependa spirit yako....to be sincere hakuna justification ya mtu kumdanganya msichana/mwanamke na kumwacha just like that-Yes, I know majority wanakuja na they will always come with stuffs like" acha tu" "samehe tu" "yatapita" and the like...lakini hiyo yote maana yake Mwanamke ndio anabeba mzigo and suffers the consequences..Huyu mwanaume anaachwa huru aendelee ku-enjoy,WHY??????

The fundamental idea hapa ni kuwa kama ambavyo mwanamke ana suffer kwa kutendwa,ndivyo na mwanaume lazima itafutwe a way na yeye kupata uchungu,kama ambavyo kisaikolojia mwanamke anahangaika na kwa baadhi ndio maisha yao yana-take direction nyingine tofauti kabisa na labda ndio yanaharibika for good,halafu inakuwaje mwanaume aachiwe aendelee kula life kwa raha zote huku nyuma anawaachia wengine maumivu??

Kama SICILIANS hakuna kuachia kitu,kadri unavyoweza na make him suffer kama alivyokufanya wewe period,kwa means gani,itategemea uwezo wako...
 
pole sana kadada ninacho kushauri nenda kwamwambie unavyo jickia juu yake na ikiwezekana itisha hata kikao kama kwao walikua wanakujua kama ulikua mchumba wake uchukue ushauri wao kama akisema akutaki poa walikni ukweli kaisha pewa czani kama ndugu wote watakubaliana na yeye wapo watako kusapoti anaweza kuwackiliza uckate tamaa mungu yupo pamoja nawe
 
nikwambie kitu mdogo wangu, that guy was never meant for you...hiyo cha kufanya ni kumuachia Mungu ndiye mpaji wa mume kwa kila mwanamke, so wewe sali sana na muombe Mungu akuondolee maumivu hayo kwani hapo naamini mlango mmoja ukifungwa, mwingine hufunguka, na kumbuka kuwa likuepukalo lina kheri na wewe, so hapo utakuja tena kupost hapa jf kuwa umepata mume sasa wa kukuona au tayari mmeshafunga ndoa...na utakuwa na furaha!!!muachie Mungu, usimmtafute, we muache tu kama alivyo Mungu ndiye mpaji usiwe na shaka naye...Mungu akufanyie wepesi Inshaallah!!!!!!
 
Nimeumizwa hivyohivyo na demu wangu wa miaka 4 kwa tamaa tu ndogondogo...nafikiri uje tuungane ili tupooze machungu yetu ,au unaemaje mpendwa?
 
Pole sana mdada lakini inawezekana wewe si wa kuolewa au yeye si wa kuoa
sasa kama wewe unajiamini ni wa kuolewa mthibitishie hilo kwa kukaa mbali nae nakuwa mtulivu katika kipindi hiki cha majaribu.
Naamini kama wewe ni wakuolewa utapata mtu na tena uchumba hautachukua muda wa miaka 3 kama huu wa mwanzo.
Na yeye kama ni mvurugaji ataendelea na mchezo hata kwa huyu mwingine.
 
huwezi kujua Mungu amekuepushia nini jipe moyo na umwombe Mungu sana....pole mwaya
 

Waambie jamani sifa ya "men behaving badly is tooooooo much sasa hivi Bongo"
 
Nimeumizwa hivyohivyo na demu wangu wa miaka 4 kwa tamaa tu ndogondogo...nafikiri uje tuungane ili tupooze machungu yetu ,au unaemaje mpendwa?

Kweli nimecheka. Ci unaona mwanamume tayari anataka kutake advantage. Sasa hii rebound na outcome yake huwa mbaya zaidi. Look for good sisters who can be friends and encourage u, kumbuka sio mwisho wa dunia.
 
Pole sana chipenzi!
Wenyewe wanasema, "what doesn't kill you . . . makes you stronger!"

Acha hilo nalo lipite mwaya
Maneno kuntuuuuuuuuu,Kipipi umenena,mambo kama haya yakitokea shukuru Mungu mtu kama huyo angekuoa halafu asikie ana wanawake wengi nje ya ndoa ingekuwaje.??wala usisikilize ushauri wa mabavu unaozunguka hapa,huyo hakuwa wako,vuta subira uwe mvumilivu somo umeshalipata.Usikubali ushauri wa kulipiza kisasi yatakupotezea muda na kukuongezea machungu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…