Nimeumizwa sana naomba faraja yenu

Pole sana huyo naona si wako tena
Kama amesema hawezi kumwacha huyo mwingine
Tulia tuli utapata wa kwako huyo naona hakuwa wako..ni mzinzi

uzinzi wake umeung'amua baada ya kutoka na mwingine?maana inaonesha kabla ya huyo mpya,jamaa alikua AKIZINI NA Simplelady
 
Last edited by a moderator:
na wale wanawake unawahudumia kila kitu halafu wanaenda nje tuwahesabu vipi, nilikuwa nahudumia kila kitu kwa lengo la kuoa lakini mwanamke aliona nachelewa na kuanza kutoa mlango wa nyuma eti nikute bado 0 milage mpaka nilipona mwenyewe ndio imetoka kwasasa sina tena habari nao wala sitokuwa nao tena
 
Sasa wewe nawqe uchumba tu umeshahamia kwa mtu, umeshammilikisha na mwili wako, si ujinga huo?? haya sasa ngoja ya kukute ili mkome nyote nyie.
 
Pole sana mdogo wangu,achana nae jali hamsini zako,MUNGU atakupa mwingine.
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?
 
Simplelady

pole sana dada yangu,jitahid uwe busy na mambo tofauti like kupiga kitabu cha nguvu,si lazima cha shule hata km novel,fundisha watt,wakubwa etc
nimekufurahia sana kwa kua ulikua mwaminifu ktk mapenzi, be like this always,nakuombea upate mwanaume mwaminifu nawe ufurahie mapenzi ya uhakika. usithubutu kumrudia huyo mwanaume TENA
 
Dada ,
Kama alivyoshauri King'asti, muda huponya majeraha!

Tena usikumbuke matatizo yaliyopita kwa sababu yanaumiza. Tazama mbele kwa kujiamani na ishi kwa matumiani kwamba Mungu atakufungulia mlango kesho.

Misukosuko ni sehemu ya maisha na ndiyo hatua ya kuvuka ili kufanikiwa na usikate tamaa Zab: 37:3.
Kumbuka kumtumaini Mungu kwa kila jambo hasa wakati huu ulio umizwa ukijua kila aitazamae kesho kwa ajili ya kufanikiwa/kuvuka ina bidi imalize leo. Tumaini lipo kwa Bwana akutie nguvu na akufariji wakati huu.

Muda huponya majeraha. Its okay kuwa mpweke na kukasirika, ila sasa isiwe milele. Jipe muda wa kupona, hakufai wala hakustahili manake sio muaminifu wala mstaarabu. Jiweke busy, soma vitabu, anzisha project itakayokuchukulia muda kwa faida, na ujifanyie mambo yatakayokupa furaha mpya. Kosa kubwa ni kukimbilia kwa mwanaume mwingine, huhitaji mtu wakati uko varuvaru. Jipe muda na furahia maisha yako ya sasa.

Pole sana.
 
pole sana,Mungu atakulipia.Iliwahi nitokea wakati niko chuo ila kwa sasa namshukru Mungu mambo yangu yananiendea vizuri.
 
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

Hebu tupe na upande wako kwa mwanaume? Ulikuwa unamsikiliza kweli au ulibweteka kwa sababu ya kuona anakupenda? Akina dada waengi wanajisahau kuwaheshimu wanaume na kupelekea kuwapatia njia za kwenda nje. Mimi hapa nipo nafukuzia nyumba dongo kwa sabau ya shida zenu na tangia hapo nimekuwa mpole kama pirito kwa wife.
 
Pole Sana. Mwanyezi Mungu Alikuonyesha hayo ili ujue lipo chaguo lako sahihi maishani na si huyo ambaye mnafumaniana kile siku. Jipe moyo Utapata atakayekidhi hitaji la moyo wako.

pole.
 
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

pole sana simplelady ndio maisha hayo yalivyo yani usitarajie kuwa hapa duniani kuna mtelemko kuna milima na mabonde wala usikate tamaa ,utapata wakukuenzi mapenzi hayalazimishwi bola nusu shali kuliko shali kamili magonjwa ni mengi majaribu ni mtaji wakuongeza imani.
 
Mmmhhhhhhhh! Ndo imemwagika huna hata kidumu!!!!!!!? Unaloooo hilo! Mimi nikifuga MIZOMBII iso na idadi watu wananirushia maweee!!!!! Saivi wangekuwa wa muhimu kweli mda kama huuuu!!!!!!!

Im not good in SIPMPATHISING an sit back n do nothing, or forgive n forget philosphy!!!!!!! Ngoja nitoke BARUUUUU! Kabla sijachafua hali ya hewa!

Jst incase you decide NOT TO BE A SHMUCK, and do something abt it, like take some REVENGE! to restore your Honour, and take care of those who DISRESPECTED you purposesly CALL ME ILL BE BACK IN WAR MODULE!!!!!!!!

Adios Amigo!!!!!!!!!

una akili sana wewe!
 
Back
Top Bottom