Nimeumizwa sana naomba faraja yenu

Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

Duh, pole. Simply the guy is not fair. Have a great heart, God will give you the right person at the right person.
 
uwiiiiii.....hebu nikuPM tuongee kwa kirefu......haya maswala yeshakuwa mengi sasa.....

na sisi tusio na PM inakuwaje? Halafu bora ya yeye amekuta watu hawajagandana...wangegandana je si ndio kelele zingeongezeka?
 
Pole shostito,jikaze kike nakuahidi utasahau na ujute kwanini ulikua unapoteza muda wako kwa kituko hicho.hastahili chozi lako muache kwani kila mzinzi anakua na mzinzi mwenzie,asikushughulishe kabisa tuliza nafsi yako na punguza kumfikiria
kwani unastahili kizuri kuliko yeye...
 
Tatitizo mnaingia kwenye ndoa kabla ya ndoa.Hawo wote ni wazinzi tu harafu munafarijiana nini?Amuombe Mungu nini?Binti yeyote alijitunza na mwenye hofu ya Mungu huwa achezewi.ni hao tu wazinzi wanaojipereka kwa wanaume mwisho wanalia.Sina ushauri
 
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

iyaaa,yashatukuta wengi wetu,mda utakuponya,pole wee ndo wanaume walivo.
 
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

Pole sana....ulitakiwa kuwa na kidumu pia:A S 11:
 
na sisi tusio na PM inakuwaje? Halafu bora ya yeye amekuta watu hawajagandana...wangegandana je si ndio kelele zingeongezeka?

acha bana.....watu tushapigwa matukio.....mpaka tukawa wa yellow....nafasi tulizobakiza moyoni ni za kula bata peke yake.....
 
Pole sana time will heal everything,tumia muda huu kujichanganya kuliko kukaa na kuomboleza,the world is always unfair,achana na huyo kenge hakufai for sure.
 
acha bana.....watu tushapigwa matukio.....mpaka tukawa wa yellow....nafasi tulizobakiza moyoni ni za kula bata peke yake.....

Pole sana ndio ukubwa...unajua adventure nzuri lakini nazo zinaleta za kuleta...ila usimfanyie mtu adventure hizo wengine hatuna mioyo hata ya kutoa malalamiko...tunapoteza kilo kadhaa immediately.
 
Pole sana huyo naona si wako tena
Kama amesema hawezi kumwacha huyo mwingine
Tulia tuli utapata wa kwako huyo naona hakuwa wako..ni mzinzi
 
Habari zenu wana jf. Mchumba wangu nimemfumania na mwanamke mwengine na kwa hasira nikagombana na huyo mchmba wangu, pia niakenda kumwambia huyo mwanamke amwache mchumba wangu. Lakini mwanaume akasema mimi siwezi mwacha huyo mwanamke kwani nampenda.

Nikaamua kuondoka zangu lakini roho inaniuma sana kwa kitendo alichonifanyia huyu bwana na sasa nimekuwa mpweke kwani sikuwa na mwanaume mwingine wa pembeni ambaye labda angenifariji sasa.

Naomba ushauri wenu nifanyeje ili kukabiliana na maumivu haya ya mapenzi?

Umeshasema we ni simple lady you must be tough lady ukabliane na hiyo hali la sivyo utabaki hivyo hivyo. Ila pia kama alisha kuonja ujue huyo ni onja onja
 
Hee?? Mweeehh pole wajameni.........aisee nayajua hayo maumivu yalivyo makali kwako kwa sasa.......

Moja: Usikurupuke kuwa na mwanaume mwingine kwa sasa sababu for sure utakuwa umefanya maamuzi si sahini kwa sana sababu ya kuwa na hasira na maumivu vumilia tu yatakwisha haya wala usijali mdada...............

Tulia kabisa tena kama unaweza ukiona muda huna cha kufanya kanunue/kakodi CD za kina Ray (hata kama huzipendi/huangilii) jitahidi uangalia upoteze muda na ucheke kidogo....... ama tafuta kijishughuli hata kupiga deki/kuosha vyombo nk hapo mawazo yatajikuta yanaondoka

Lingine: Hebu kumbuka yale maudhi amewahi kukufanyia mkiwa wote hapo hutamtamani tena kumuona..............ha ha ha hii ndo njia mie hutumia kumsahau mtu sikumbuki mazuri yake.......................
nimepata thomo hapa
 
Back
Top Bottom