UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,209
- 9,629
Soma vizuri mkuu Uzi na comments za watu.Kilichozungumzwa hapa uwezo wa ubunifu wa wazungu, suala la ubora wa wazungu sijui ni ubora wa nini huo, hili ni la kwako, labda wewe ndio ulitolee maelezo.