Nimeumizwa sana na hii kauli...

Nimeumizwa sana na hii kauli...

Kama viwanda tulivyoachiwa na wazungu miaka 60 iliyopita tushaviua na kuvifufua ni ngonjera, kila mwaka bungeni wanapanga kuvifufua lakini nill.
Je, tunaweza kujipiga kifua kuwa tunaweza kufika mbali zaidi bila ya wao?.
Lazima tukubali kwamba uafrika ni tatizo. Ndo maana karibu mabosi wote wanaume wa kiafrika wamefanya mapenzi na makatibu muhtasi(masekretari) wao ilhali nyumbani wana wake wazuri.
 
Eti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"

Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.

Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi

Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?
NDIO NI KWELI KABISA.

Ni mwafrika yupi aliyetoa uvumbuzi au ubunifu wa jambo linalotoa msaada kwa watu mamilioni duniani, malaki je au hata maelfu?

Wazungu wameendelea sanaaa kuliko Waafrika, Waafrika sisi ni wa kusubiria tuandaliwe kiila kitu na sisi kazi yetu ni kutumia tu.

Wazungu ni 1st class in Politics, Economics, Physics, in Agriculture and in all other spheres kasoro kwenye vigodoro nuksi.

Tumewazidi kwenye kucheza ngoma, kubuni HipHop, Majungu na vigodoro.

Wewe unayebisha hilo hebu bisha kwa kuorodhesha ugunduzi au ubunifu uliofanywa na Mwafrika na kuwa ni msaada kwa watu wa races zingine.

Mwafrika amegundua nini anachokitumia Mzungu?
 
Hata mm naunga mkono wazungu ni daraja LA kwanza wewe lia chukia lkn ukweli mzungu ni best ktk ulimwengu huu .ndugu hebu angalia maisha yt waafrika yalivyo ni tatizo .hebu angalia mambo wanayofanya viongozi wetu angalia km Mugabe na viongozi wengi wa kiafrika wanavyoongoza nchi zao ni tatizo.HB ona mfano wa ajari ya arusha ona wale wazungu walivyosaidia pia angalia yule kiongozi was mkoa mambo anayoyafanya .HV kweli rambirambi zinaleta ugomvi mpk watu wanawekwa ndani?HV unachukua rambirambi unajengea nyumba za hospital je hiyo ajali isingetokea wangepata wapi hela ya kujenga hy hospital?kwa mifano by michache hakika mzungu in bora tens bora kbsaaaa.ukweli unauma lkn ukweli unasimama ktk kweli
Sisi waafrika tupotupo tu

Bila wazungu tungeishi kama manyani porini.

Anayebisha abishe critically.
 
Karne ya 14 Afrika na Europe tulikuwa na teknolojia sawa soma kitabu cha Walter Rodney. Wazungu wako pale waliko kwa sababu wa wizi wa maliasili zetu.

Tuliwakalibisha kwa upendo (wapelelezi, wamisionari, wafanyabiashara) wakachukua Almasi na dhahabu zetu mwisho wa siku wakatajirika waka invest katika sayansi na tecnolojia wakagundua siraha kali wakaja wakatutawala na kutunyonya zaidi.
Tulikuwa wapi tukadanganywa kindezi?
 
Kama kujitawala wenyewe tunashindwa, maliasili kuzisimamia tunashindwa hiyo sayansi na teknolojia tutaweza wapi?? Waafrica ni wapumbavu zaidi ya unavyofikilia.endelea kukataa
Ni kweli ni Wapumbavu sana.
 
Siyo kweli Ethiopia Na Liberia waliiba nini? Mbona Maskini hadi Leo? Kule Amazon Na Papua Guinea waliiba nini mbona hadi Leo wako Uchi? Kubali tu, Wazungu ni tofauti kabisa na Weusi!!!.
Ni tofauti sanaaa!
 
Ndiyo nimekuuliza hayo maswali wewe unayeona wazungu ni bora.Uniambie ubora wao ni upi au tunaaminishwa tu hivyo?
Kilichozungumzwa hapa uwezo wa ubunifu wa wazungu, suala la ubora wa wazungu sijui ni ubora wa nini huo, hili ni la kwako, labda wewe ndio ulitolee maelezo.
 
Eti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"

Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.

Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi

Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?
INFERIORITY COMPLEX AT ITS BEST
 
Simu unayoitumia wao ndio chanzo
Pesa unayoitafuta wao ndio waanzilishi..
Ujinga wetu wao ndio wametutegea..
Nguo tunazozivaa wao ndio wavumbuzi..
Demoghasia tunayoitafuta wao ndio waanzilishi..
Vyoo na majengo makubwa yote ni ubunifu wao..

ZINGATIA: Hata ubinafsi wa viongozi wa kiAFRICA tumeuiga kutoka kwa wakoloni, hivyo itoshe kusema kwamba MZUNGU tunamsujudu kwa namna ya kipekee.
 
Kwan
Karne ya 14 Afrika na Europe tulikuwa na teknolojia sawa soma kitabu cha Walter Rodney. Wazungu wako pale waliko kwa sababu wa wizi wa maliasili zetu.

Tuliwakalibisha kwa upendo (wapelelezi, wamisionari, wafanyabiashara) wakachukua Almasi na dhahabu zetu mwisho wa siku wakatajirika waka invest katika sayansi na tecnolojia wakagundua siraha kali wakaja wakatutawala na kutunyonya zaidi.
Kwanini na sisi tusiwaibie? Yani hiyo kauli ni ukweli mtupu na anaethibitisha ukweli wa kauli yenyewe ni muafrica mwenyewe.
 
Eti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"

Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.

Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi

Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?
Ukweli mtupu!
Hata historia inasema wazungu waliwatea dini ili kufunga akili za wafrika,
Mpaka leo hii leo wenzetu kichwa sisi mkia
Wazungu wanagundua technolojia mpya sisi tunafuata mkia Wa technology!
Leo hii Wenzetu wapo technojia ya nuclear, sisi bado tumekumbatia magobore ya windia nguruwe, na vijibomu vya kuficha sehemu za siri!
Silaha walizutumia wakoloni kuvamia Africa miaka ya 1900!
 
Mpaka leo hii Kule Tanzania elimu kama kigezo katika kisiasa ni KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA!
 
Karne ya 14 Afrika na Europe tulikuwa na teknolojia sawa soma kitabu cha Walter Rodney. Wazungu wako pale waliko kwa sababu wa wizi wa maliasili zetu.

Tuliwakalibisha kwa upendo (wapelelezi, wamisionari, wafanyabiashara) wakachukua Almasi na dhahabu zetu mwisho wa siku wakatajirika waka invest katika sayansi na tecnolojia wakagundua siraha kali wakaja wakatutawala na kutunyonya zaidi.
Hicho kitendo au uwezo wa kuchukua rasilimali yetu na kututawala ndio hali inayowafanya waonekane kuwa bora kuliko sisi.
 
NDIO NI KWELI KABISA.

Ni mwafrika yupi aliyetoa uvumbuzi au ubunifu wa jambo linalotoa msaada kwa watu mamilioni duniani, malaki je au hata maelfu?

Wazungu wameendelea sanaaa kuliko Waafrika, Waafrika sisi ni wa kusubiria tuandaliwe kiila kitu na sisi kazi yetu ni kutumia tu.

Wazungu ni 1st class in Politics, Economics, Physics, in Agriculture and in all other spheres kasoro kwenye vigodoro nuksi.

Tumewazidi kwenye kucheza ngoma, kubuni HipHop, Majungu na vigodoro.

Wewe unayebisha hilo hebu bisha kwa kuorodhesha ugunduzi au ubunifu uliofanywa na Mwafrika na kuwa ni msaada kwa watu wa races zingine.

Mwafrika amegundua nini anachokitumia Mzungu?
Kwani kipimo cha ubora kati ya mtu na mtu au jamii kwa jamii ni kipi?
 
Sisi waafrika tupotupo tu

Bila wazungu tungeishi kama manyani porini.

Anayebisha abishe critically.
Waafrika hatupo tupo tu ila tunataka kuishi kama wazungu,nafikiri bila wazungu tungekuwa na aina ya maisha na tungekuwa tunatatua changamoto zetu za kimaisha.
 
Inasikitisha sana...
Binadamu wote ni sawa hakuna aliyemzidi mwengine...

Kuna wachache ambao wanajiita wazungu, wametengeneza mfumo ambao ni wao tu wananufaika nao na siyo wengine...

Mfumo ambao ukitaka kufanya mapinduzi ya teknologia lazima upitie system zao kwa maana ya kwamba usome vyuo vyao, ufanye kazi kwao...

Mitaala waliyotupatia ni kandamizi, haukupi fursa ya kufikiria mbali bali inakupa mawazo ya kuwasujudia zaidi...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom