Sasa hauoni kama hizo njia za usafiri walizozitumia tu kufika huku walikuwa wamesha tuzidi? Lakin heb jarib kukwepa kutumia kitu kilichogunduliwa na mzungu hata kwa siku moja kama utaweza we fikiria mtu yupo U.S.A ww upo huku USHENZINI ila mnawasiliana vizuri na mnaonana bila shida.... Sasa hadi hapo wa afrika tujilinganishe na teknolojia gani ya ki afrika unayoweza wasiliana hivo.Karne ya 14 Afrika na Europe tulikuwa na teknolojia sawa soma kitabu cha Walter Rodney. Wazungu wako pale waliko kwa sababu wa wizi wa maliasili zetu.
Tuliwakalibisha kwa upendo (wapelelezi, wamisionari, wafanyabiashara) wakachukua Almasi na dhahabu zetu mwisho wa siku wakatajirika waka invest katika sayansi na tecnolojia wakagundua siraha kali wakaja wakatutawala na kutunyonya zaidi.
Amayesema hivyo, yupo sahihi kabisa. Kama huamini, angalia comments zetu humuEti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"
Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.
Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi
Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?
Siyo kweli Ethiopia Na Liberia waliiba nini? Mbona Maskini hadi Leo? Kule Amazon Na Papua Guinea waliiba nini mbona hadi Leo wako Uchi? Kubali tu, Wazungu ni tofauti kabisa na Weusi!!!.Karne ya 14 Afrika na Europe tulikuwa na teknolojia sawa soma kitabu cha Walter Rodney. Wazungu wako pale waliko kwa sababu wa wizi wa maliasili zetu.
Tuliwakalibisha kwa upendo (wapelelezi, wamisionari, wafanyabiashara) wakachukua Almasi na dhahabu zetu mwisho wa siku wakatajirika waka invest katika sayansi na tecnolojia wakagundua siraha kali wakaja wakatutawala na kutunyonya zaidi.
Hebu angalia na tafakari kuhusu hicho kifaa ulichotumia kuposti uzi wako, hapo ndio utajua mzungu ni nani katika hii duniaEti "mungu alimuumba mzungu kwa mfano wake na mwafrika ni kivuli cha mzungu"
Hii ni kwa sababu ya mzungu kuwa na akili ya kugundua vitu vingi na mwafrika kuwa anaiga tu kutoka kwake pia na kutumia teknolojia ya mzungu huku yeye akiwa bado yuko nyuma.
Binafsi nimeumizwa sana na hii kauli ya kishenzi inayodharirisha uafrika wetu na damaduni zetu walizo ziita tamaduni za kishenzi
Hivi kuna sababu ya waafrika kuwakubali wazungu kuwa eti bila wao sisi tusingefikia hatua hizi tulizo nazo kwa sasa za maendeleo ya kiteknolojia na nyanja nyingine za kiuchumi, siasa na kijamii?
Umeongea ukweli mpaka nimechukia, watu wanatoa pole wanalala mahabusu?!Hata mm naunga mkono wazungu ni daraja LA kwanza wewe lia chukia lkn ukweli mzungu ni best ktk ulimwengu huu .ndugu hebu angalia maisha yt waafrika yalivyo ni tatizo .hebu angalia mambo wanayofanya viongozi wetu angalia km Mugabe na viongozi wengi wa kiafrika wanavyoongoza nchi zao ni tatizo.HB ona mfano wa ajari ya arusha ona wale wazungu walivyosaidia pia angalia yule kiongozi was mkoa mambo anayoyafanya .HV kweli rambirambi zinaleta ugomvi mpk watu wanawekwa ndani?HV unachukua rambirambi unajengea nyumba za hospital je hiyo ajali isingetokea wangepata wapi hela ya kujenga hy hospital?kwa mifano by michache hakika mzungu in bora tens bora kbsaaaa.ukweli unauma lkn ukweli unasimama ktk kweli
Na wewe unaamini katika mungu na ndiyo maana unakubaliana kuwa Mungu aliumba mzungu kwa mfano wake?Amayesema hivyo, yupo sahihi kabisa. Kama huamini, angalia comments zetu humu
Nahakika kwa anachokifanya mmarekani kwa NK pia kingeonekana ni kitendo cha kijinga kama kingefanywa na mtu mweusi.Umeongea ukweli mpaka nimechukia, watu wanatoa pole wanalala mahabusu?!
Mi nimwafrika ila namkubali mzungu. Kama gambo ni binadamu Mimi ni sokwe hakika.
Sasa hapo ubora wa mzungu ni upi kwa kutengeneza kifaa tunachotumia kiasi cha kuona mzungu ni kiumbe bora? au tunaaminishwa kuwa wazungu ni viumbe bora kwa sababu ya vifaa kama hivi?Hebu angalia na tafakari kuhusu hicho kifaa ulichotumia kuposti uzi wako, hapo ndio utajua mzungu ni nani katika hii dunia
Labda ungesema tumeshindwa kujitawala kama wanavyojitawala wazungu pengine ningekuelewa,tatizo ni kutaka kuwa kama wazungu.Kama kujitawala wenyewe tunashindwa, maliasili kuzisimamia tunashindwa hiyo sayansi na teknolojia tutaweza wapi?? Waafrica ni wapumbavu zaidi ya unavyofikilia.endelea kukataa
Mnaaminishwa wewe na nani? Na ni nani huyo anayewaaminisha? Na huyo anayewaaminisha amewalazimisha muamini anavyotaka yeye?Sasa hapo ubora wa mzungu ni upi kwa kutengeneza kifaa tunachotumia kiasi cha kuona mzungu ni kiumbe bora? au tunaaminishwa kuwa wazungu ni viumbe bora kwa sababu ya vifaa kama hivi?
Ubaguzi upo wa kila aina hivyo kila jamii kuna mambo ya ubaguzi,ila nashangaa kwanini dunia inapigia kelele sana huu ubaguzi tunaoita ubaguzi wa rangi? binafsi mbaguzi wa rangi namdharau hana tofauti na anayelalamika kubaguliwa kwa sababu ya rangi,wote ni kama wamepandikizwa kitu ambacho hakina uhalisia.Bado wazungu wana ubaguzi sana kwa waafrika. Kuna video nimeona YouTube ....
Watu walitaka kuthibitisha ubaguzi upo..
Wakawaweka vjana wawili (mmoja mzungu mmoja ni black {mwafrika}) maeneo mawili tofauti... Wakiwa na mabango "nina njaa naomba nisaidie" mwafrika hakupewa kitu ndani ya dakka tano ila yule mzungu dakika moja tu kapewa hela na chakula
Ili linazidi kuthibitisha bado tunaonekana vivuli...
Inauma sanaaa
Ndiyo nimekuuliza hayo maswali wewe unayeona wazungu ni bora.Uniambie ubora wao ni upi au tunaaminishwa tu hivyo?Mnaaminishwa wewe na nani? Na ni nani huyo anayewaaminisha? Na huyo anayewaaminisha amewalazimisha muamini anavyotaka yeye?