Pole sana dada....nikushauri kitu kimoja kwa uliyopitia hadi sasa tumia njia moja nakuahidi utafanikiwa EXTERNAL LOCUS OF CONTROL jua wewe ndio chanzo cha tatizo coz hukutusimulia ya nyuma inawezekana ulimfahamu ila ukaamin atabadilika so hauna sababu ya kushangaa ila kukubali hali halisi pia jua ni njia yako ya kujifunza na sio kutafuta madhaifu yake kwan at the end hata ukijua lipi juu yake halitakuwa na msaada tena ila ukijua yako itakuwa msaada kwako na mtoto...tulia umeshapotea sasa unakimbilia wap si ndio utazidi kupotea? Umenitia hasira sana kwa kuonyesha umma madhaifu yako....
Nawe utazaaje na mtu alie kwisha zaa kwingne leo unataka kupendwa hayo bi mkubwa ilitakiwa alalamike sio wewe kama jina lako lilivyo hebu pita hivii.....we lea mtoto kufa hufi cha moto utakiona
kuna movie moja ya america baba aliwatosa mama na mwanae,kijana alipokua akaanza kushirikiana na mama yake,akaanza kucheza basketball akakubalika,siku anapewa dili kubwa ya kusajiliwa baba naye anakuja na kudai ni mtoto wake
Duuh sasa wewe kwa nini ulitaka kujua yote hayo? saa zingine kujua ukweli hakusaidii kitu ni kama vile kwenda kupima DNA inaonesha vinasaba vyako kwa mtoto ni asilimia labda 70 kwaio kuanzia miguuni mpaka kifuani kuanzia mabegani mikono na kichwa ni vya mtu mwingine in most of the times the truth is useless...
pole mamy......acha kumfwatilia huyo mwanaume .....mwombe Mungu akupe ujasiri na uvumulivu......utamlea tu mwanao na atakuwa.....kwani wangapi wamelelewa bila baba......