Nimeumia sana

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Ukipitia threads mbalimbali hapa JF,

Unaweza dhani Wana JF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.

Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
 
Hili jukwaa longtime lilikuwa mwake sanaa watu walitoa michango madhubuti, ilikuwa ukisearch kitu flani kwa google, unashangaa JF tayari walishaongelea.

Hali ni sawa na mitandao mingine
 
DR Haya Land is A Bigot and Racist

DR Haya Land hajawahi kuwa na upendo wa Taifa hili sembuse Vijana wa Taifa hili.

Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, unaweza dhani WanaJF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.

Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Mkuu, pole sana. Lakini pengine huwa Iko hivi:-

(1) Kutokana na wengi wetu kuwa frustrated kama matokeo ya ukosefu wa ni nini cha kufanya i.e. wako idle (Jobless) basi mtu anajifyatukia tu alimradi aonekane yupo na angependa na wengine wawe kama yeye kitu ambacho ni ukosefu wa busara.

(2) Kutokana na chuki binafsi watu wengine hawampendi Dr.Haya land na hivyo wakisikia habari zozote nzuri juu yake wanakereka zaidi hususan kusikia ww unamkubali au unathamini kazi zake au jema alilokutendea. i.e. Wana Roho ya kwanini

(3)Watu wengine wameudhika kusikia kwamba na ww umenufaika kutokana na ufadhili wa Dr.Haya land. Wanatamani Dr. angekupotezea ili iwe ngoma droo.

Ni hayo tu.
 
Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, unaweza dhani WanaJF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.

Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Niliona uzi wako, usijali kabisa kwenye jukwaa kubwa kama hili tegemea kila aina ya comments. Pole
 
Mtandaoni kwanini mpaka uumie ? 😂😂😂
TAIFA linazalisha Vijana wanaopenda kufarijiwa sana
 
Back
Top Bottom