Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,071
- 95,687
Shida ana wenge, hii id yake ya kutengeneza ili aji Sofie😂🤓.Itakuwa mmemuattack sana
Si unaona bado ni mwali 🤣🤣
Hana uzoefu na jeiefu
Ana sahau kila mtu ana mtazamo wake.
Shida ana wenge, hii id yake ya kutengeneza ili aji Sofie😂🤓.Itakuwa mmemuattack sana
Si unaona bado ni mwali 🤣🤣
Hana uzoefu na jeiefu
Ila watu mna Siri, kumbe ni mwali na hamsemi!Itakuwa mmemuattack sana
Si unaona bado ni mwali 🤣🤣
Hana uzoefu na jeiefu
Mpaka mmemuumiza sana 😂😂😂Itakuwa mmemuattack sana
Si unaona bado ni mwali 🤣🤣
Hana uzoefu na jeiefu
Ooh? Hata msibani watu hufarijiwa. Sio kwamba wanapenda kufarijiwa ila ni kawaida ya binadamu pale mtu anapokuwa amehuzunishwa biala hiari yake. Je ww hupendi kufarijiwa i.e. Watu wenzio wakuoneshe kwamba "Tuko pamoja?"Mtandaoni kwanini mpaka uumie ? 😂😂😂
TAIFA linazalisha Vijana wanaopenda kufarijiwa sana
Angalia lakini usije ukamwumiza tena zaidi. Hahahahaa.Ila watu mna Siri, kumbe ni mwali na hamsemi!
Ngoja nianze kuangalia content zake nizoom avatar yake nianze kumfuatilia
Kufarijiwa humu JF ? Big no aiseeOoh? Hata msibani watu hufarijiwa. Sio kwamba wanapenda kufarijiwa ila ni kawaida ya binadamu pale mtu anapokuwa amehuzunishwa biala hiari yake. Je ww hupendi kufarijiwa i.e. Watu wenzio wakuoneshe kwamba "Tuko pamoja?"
i.e. Kuliwazwa ni faraja na kitulizo kwako.
inauma,Ukipitia threads mbalimbali hapa JF, unaweza dhani WanaJF wana upendo kwa taifa na vijana, binafsi nilikuwa naona JF ni jukwaa mahususi kwa kuwejenga vijana na taifa bora.
Jambo la ajabu sana, siku ya jana nimepost Uzi juu appreciation yangu kwa Dkt. Haya Land, WanaJF wengi wameni-attack na kuniita chawa, jambo la ajabu sana. Kwanini mnakuwa na wivu, chuki na ubinafsi kiasi hicho?
Ataumia wapi? Huyo Dr haya land kavaaa nguo za kike tu🤣🤣Angalia lakini usije ukamwumiza tena zaidi. Hahahahaa.
Si amekuwa attacked humu humu Jf? Sasa aende wapi kupata faraja kama si humu humu alikodhuriwa?Kufarijiwa humu JF ? Big no aisee
Sijawahi kuwiva wala kupanick na kuanzisha Uzi wa malalamiko humu dhidi ya Members labda Mods .😂😂😂😁😁😁Ndio anawiva,na sisi tulikuwa kama yeye hapo zamani
Atapata tabu sanaaShida ana wenge, hii id yake ya kutengeneza ili aji Sofie😂🤓.
Ana sahau kila mtu ana mtazamo wake.
Tayar ashakua kama sisi sema anavungaa tuPole sana mkuu, wengi wetu humu tuna matatizo ya akili na misongo ya mawazo. Tuelewe tu na baada ya muda usipokuwa makini na wewe unaweza kuwa kama sisi.
Mods walikufanya Nini kwani🤣🤣🤣🤣?Sijawahi kuwiva wala kupanick na kuanzisha Uzi wa malalamiko humu dhidi ya Members labda Mods .😂😂😂
Wanapiga Chabo PM. Alafu hata ukiwaanzishia Uzi wanaufuta chapMods walikufanya Nini kwani🤣🤣🤣🤣?
Wanataka kuona mnavyotia vocalWanapiga Chabo PM. Alafu hata ukiwaanzishia Uzi wanaufuta chap
Nime umia, njoo na Mimi pm yangu uni hadithie hadithi,🤓🤣 🤣 Namfata PM nimmpe darasa awa puuzie njaa kali wenye -ve Comment