HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Wanajamvi najishangaa sana hapa nilipo kila ninayempenda mwisho ananiacha bila kosa huyu wa sasa ndio kabisa yani nmempangia na nyumba anapo kaa lakini niwiki sasa tangu aniache nakusema yeye anataka kuwa single Lakin bado anakaa kwenyenyumba niliyo mpangishia sina raha kabisa sielew nifanyeje hata msosi haupandi
Nimejaribu kufanya niwezalo kwake lakini ameamua kuniaacha
Wanawake wengi! wamebaki wa show off mbona bill gates mwembamba...kwahiyo ungekutana nae ingekuwa vipi..endeleeni kufanya watu atm machineNahofia ukikonda itakuwaje? Piga picha ndo nimekutana na wewe nisivyopenda wanaume walokonda(mchele mwembamba) kweli si utapoteza bahati? Piga menyu jipende uone watoto utakaowapata