Nimeua mgeni wangu leo

wataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!
Km waarabu wamavyouliwa kule kwamba magaidi kumbe sio wote
 
Huyo Chatu hata Dar wapo kibao, mmoja mwaka 2012 aliwahi kuuliwa mto Mzinga alipokuwa akivizia Mbuzi. Yaani huyo kiumbe akiwa anawinda kumuua ni rahisi, hana akili ya kujihami. Hawezi kuwinda na kujihami hapohapo
 
Huyu hapa alikuwa akimendea Mbuzi
FB_IMG_1533642740160.jpg
 
Sasa akitokea ndani unafanyaje? Na uko wa wifi pemben
aaahh sijui itakuwaje!!ni bora nikutane na mnyama mwingine yeyote lakini si nyoka,Nyoka aaaahh huyu kiumbe sinaga urafiki naye hata kidogo, sio nimuone live tu,hata kwenye video moyo wangu unanyong'onyea sana!!
Kwa hiyo we swahiba kwako nyoka fresh tuu,hata kumshika unamshika!
 
Supu yake nasikia inaongeza mgegedo kuwa mkubwa.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
wataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!
Wewe uliyeepuka ignorance ungeanza kuuelezea huo utaalam, la sivyo mie sitamchelea ignorance anayeingia kwenye anga zangu kisa hana hatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom