Wanaume wa Dar hawatafungua huu Uzi
watu wa maliasili watoe elimu hapa then watoe namba zao ambazo watu tutawatafuata pale ambapo wadudu au wanyama wa porini wanapovamia makazi yetu,Raslimali hiyo ilikuwa imepotea njia tu,ungewaita wahusika wangekuja kuichukua na kuirudisha ilipotoka.
Kwanini unampa hongera kwa kuua?hongera lol
Kweli kabisa kaka,hiyo ni hela na imeteketea bure kabisa kwa sababu ya uzembe wao,kwa jinsi alivyokomaa alitakiwa kuwa hata kwenye zoo huyu.watu wa maliasili watoe elimu hapa then watoe namba zao ambazo watu tutawatafuata pale ambapo wadudu au wanyama wa porini wanapovamia makazi yetu,
Chatu anaweza kumeza mtu mzimaNyoka anaishi ndani ya nyumba inasemekana hadhuru mtu. BTW huyo anaonekana kuwa ni chatu, hana madhara kwa watu mjini ila kwa mifugo pekee.
Vv
Mbuta...Chaaaa
Iliandikwa, umwonapo mponde kichwaniwataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!