Nimeua mgeni wangu leo

wataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!
Kwahiyo unamaanisha chatu hana madhara kwakuwa hana sumu?

Halafu acheni tuwaue tu tutimize maandiko, wao huwa hawaachi kuyatimiza wanapopata nafasi
 
Mhhh! Utakuwa umezaliwa na kukulia darisalama!
Nimekulia Dar ila nimeishi kijijini kwa muda na nilikuja kugundua kuwa tulikuwa tunalala na nyoka baada ya kumbaini na kumuua. Kuna tukio la miaka miwili iliyopita nakumbuka ile nafungua mlango tu niingie ndani kumbe ndiyo namdomdosha aingie chumbani, ilibidi nimuue na nikaingia kulala kama kawaida.

Vv
 
Uliwahi kukumbana na chatu huko kijijini?
 
Hapana, hapana, hapana.

Ningejua wala nisingefungua hapa.

Siyapendi haya MADUDE.

Siyapendi MANYOKA.

Nayaogopa MANYOKA.

Nayaogopa sana MANYOKA.

NYOKA!

MIMI na NYOKA ni vitu viwili tofauti.

Hapa Mwili wangu wote unanisisimka.

NYOKA!

Nawaogopa.

Naogopa sana NYOKA.

:mad::mad::mad::mad::mad:
 
wataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!
huyo hana madhara lakini anamezaga watu na mbuzi.
 
wataalam wa nyoka wanasema ni 20% tu ya nyoka ndio wenye sumu inayoweza kumdhuru mwanadamu, hivyo basi kwa ignorance yetu tunaua maelfu ya nyoka wasio na hatia wala madhara!
Nadhan upo mjin wewe,sisi wa vijijin tunapata case za watu kufa au kupata vilema kwa aajili ya madhara ya nyoka
 
Una roho mbaya unaua viumbe wa mungu kichatu kidogo hivyo kinauwezo wa kukumeza kweli kingekusaidia hata kumeza hao panya maskani kwako
 
Back
Top Bottom