josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 641
Picha zingine 4 zikwapi?Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, ebu tieni neno wakuu.View attachment 2190443
Same old shit. Message za matapeli uandishi ule ule wa miaka ya 2010Nikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, ebu tieni neno wakuu.View attachment 2190443
HiziPicha zingine 4 zikwapi?
Hao ni matapeli wa kisasa.
Sambaza huu ujumbe kwenye makundi mengine ya WhatsApp au mitandao mingine.
Nami nmejiuliza hili swali mkuu, au ni kubuni tu pengne.Kwanza huyo kaipataje namba yako ya whatsap?
Ova
Hao ni wanaijaaa...matapeli tuNikiwa nmetulia zangu jana jioni ikaingia meseji ya namba mpya whatsapp, Hello, nkaijibu baada ya kutafakari kwa muda km dakik 20 hivi maana nlipitia kwanza mttandaoni nione hiyo code ya +229 ni ya nchi gani, nkajibu, Yeah. Mazungumzo yakaishia hapo.
Leo asubuhi kantumia hii msg na picha 4.
Nmejiuliza maswali mengi ila majibu sina, ebu tieni neno wakuu.View attachment 2190443