Nimetumiwa invitation letter kwenda kutembea Canada, utaratibu ni upi?

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,807
6,303
Wakuu Nina rafiki yangu Ni Raia wa Canada, kanitumia invitation letter kwenda Canada, Ni documents zipi Na zipi natakiwa kwenda nazo Ubalozini kwao? Na Ni maswali gani hasa huuliza? Kwa anayejua tafadhari.
 
kwa nini usiende ubarozini na wakakueleza ni karatasi gani wanataka?au tu the.

swissme
 
Wewe sehemu zote unazoenda unazijua ? Au unataka kuandika kitu hapa uonekane ume post? Ameomba msaada hajui ,kama unajua process msaidie kumjibu kistaarabu au wivu umekujaa?
Acha kupaparukia wanaume ww kwahio umetumwa uje kuni suta?
Wacha wivu wa kike wewe ,ina maana mtu asiulize kitu ? unadhani kila mtu hapa anajua kila kitu ? unakuwa kama house girl kaona mama mwenye nyumba kanunuliwa kitu na mume wake mimacho inamtoka ..kwani katangazia wapi hapa ?kwa wazungu umeona peponi sio ? nenda kakinge maji ya mvua ukoge uko
 
umeiona avatar yake huyo jamaa bullar?yaani na alichopost hakuna tofauti na akili yake
 
kwa nini usiende ubarozini na wakakueleza ni karatasi gani wanataka?au tu the.

swissme

Huyu hata safari yenyewe sijui kama ataenda, unafikiri visa kwa umazwazwa huu ni rahisi kihivyo, kwa kumsaidia tu ajiandae kwa yafutayo. Ivitation letter, vetting report, bank statememt iliyonona na ukifoji imekula kwako, dollar kadhaa za visa na hizo non refundable... na viambatanisho vingine kwa mujibu wa ubalozi wa canada na anaweza ku google ubaloni wa hapa akapata info. zote sijui hata kwa nini ametuuliza as if JF inatoa visa... mimi japo kuwa nilialikwa na shirika linalofahamisha kwa kugharamia kila kila bado ubalozi walitaka nipeleke bank statemement japo haikua ikihitajika kwa category kama yangu... by the way huyo anae muivite pia lazima awe vetted....sio mchezo baba ake
 
Hio 400,000 inatakiwa uifanye kwa ma daktari wao mahsusi kabla haujaondoka Tanzania in short ni moja ya documents utakazo hitaji ili uweze kupata viza..
 
Back
Top Bottom