Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 158
- 281
Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?