Nimetokea kumpenda mke wa rafiki yangu

Nimetokea kumpenda mke wa rafiki yangu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi yule mkeo uliyemfuma anacheza kwenye vigodoro umemuacha
[emoji23][emoji23] Bado niko naye, huo ni mzigo wangu, ntaubeba popote niendapo. Ila akinisumbua sana hatokuja kuamini atakapokuta mke wa pili ndani
 
Sasa umeanzisha uzi wa nini? Mbona hujawaanzishia hao wengine?
Ni kwa vile tu amechukua part of my life, part of my heart. Lakini sio kwamba namuwazia ngono! Kwanza fantasy yangu ni mitungi, ngono ina nafasi kidogo sana
 
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine

Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua kujisafisha na kujipamba, mavazi anayovalia yanampendeza, si mwongeaji kiviile japo ana sura ya ucheshi, hana makuu na mtu, muda wa utani kwake ni wa utani, na muda wa kazi kwake ni wa kazi.

Popote ulipo shemu wangu itoshe tu kusema kuwa NAKUPENDA, nimevutiwa na wewe na ninaamini kuwa ipo siku nitakutana na mwanamke mwenye sifa kama zako. Unavutia asikwambie mtu, rafiki yangu kaokota dodo chini ya mnazi. Mtoto umefundwa ukafundika

Mtoto wa mama umekamilika kila idara, una huo mshepu walai, sauti kama ya celine dion, sipati picha hiyo miguno pindi uwapo na rafiki yangu kwa chemba. Tabasamu ulilonionesha jioni hii ya leo limenidatisha sana. Najikuta nakuona wewe pindi ninapozifunga mboni za macho yangu. Ni wewe tu umetaradadi ndani ya moyo wangu

Wakuu, mniombee nipate mwanamke wa kufanana naye. Japokuwa nimekwisha mtumia sms kumueleza duku duku lililo ndani ya moyo wangu kwa maneno niliyoyaandika hapo juu. Ni nusu saa sasa sijajibiwa chochote kitu

Hakika rafiki yangu kapata chomboView attachment 2411570
Huo upendo kamuonyeshe mkeo
 
Ni hadithi?
Kama ni kweli acha ujinga huo mara moja... Alisikika mzee mmoja hivi mtaa wa pili...
 
"...Anajua kujisafisha na kujipamba..."

Tumekuelewa
[emoji23] Ndo hivyo mkuu, huyu mwanamke ni sawa na Malaika wa mapokezi, ni msaafii asikwambie mtu, full kioo. Dah, nimempenda bure, ila sina mpango wa kumchapia mtu
 
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine

Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua kujisafisha na kujipamba, mavazi anayovalia yanampendeza, si mwongeaji kiviile japo ana sura ya ucheshi, hana makuu na mtu, muda wa utani kwake ni wa utani, na muda wa kazi kwake ni wa kazi.

Popote ulipo shemu wangu itoshe tu kusema kuwa NAKUPENDA, nimevutiwa na wewe na ninaamini kuwa ipo siku nitakutana na mwanamke mwenye sifa kama zako. Unavutia asikwambie mtu, rafiki yangu kaokota dodo chini ya mnazi. Mtoto umefundwa ukafundika

Mtoto wa mama umekamilika kila idara, una huo mshepu walai, sauti kama ya celine dion, sipati picha hiyo miguno pindi uwapo na rafiki yangu kwa chemba. Tabasamu ulilonionesha jioni hii ya leo limenidatisha sana. Najikuta nakuona wewe pindi ninapozifunga mboni za macho yangu. Ni wewe tu umetaradadi ndani ya moyo wangu

Wakuu, mniombee nipate mwanamke wa kufanana naye. Japokuwa nimekwisha mtumia sms kumueleza duku duku lililo ndani ya moyo wangu kwa maneno niliyoyaandika hapo juu. Ni nusu saa sasa sijajibiwa chochote kitu

Hakika rafiki yangu kapata chomboView attachment 2411570
Acha ufala tafuta mwanamke wako umpende, acha tamaa kijana..............
 
Back
Top Bottom