[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona tuamnafikishana huko rafiki, mi sina maana ya kumgegeda mkeo. Nimeamua tu kumchana ili atambue ukweli kuwa nampendaBado naipitia sms yako kwa makini, nimeandaa vijana watatu walioshiba.
Yani chai kama zote.....atuletee na chapati sasa chai kavu inaunguzaHa ha ha ndio huyu alileta Uzi wa kigodoro jana😂
Mwamba anatunga mafaili huko alipo Kila siku anaachia moja
Duh[emoji20] Kwa hiyo hata kwa salamu tu siruhusiwi kuwa karibu naye?Aisee acha masiala kabisa mke anauma sana.
Naomba na chapati mbili na yai moja la kuchemshaUpdates zote nimeziunganisha hapo hapo juu kwenye huo uzi [emoji23]
Aisee tafadhali stay away usije kuta unamsifua mke wangu hatujuani humu.Duh[emoji20] Kwa hiyo hata kwa salamu tu siruhusiwi kuwa karibu naye?
Umdhanie siye kumbe ndie.Kwa jinsi ambavyo shemu alivyo smart, sidhani kama atadiliki kunichoma kwa mumewe
Maake nicheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine
Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua kujisafisha na kujipamba, mavazi anayovalia yanampendeza, si mwongeaji kiviile japo ana sura ya ucheshi, hana makuu na mtu, muda wa utani kwake ni wa utani, na muda wa kazi kwake ni wa kazi.
Popote ulipo shemu wangu itoshe tu kusema kuwa NAKUPENDA, nimevutiwa na wewe na ninaamini kuwa ipo siku nitakutana na mwanamke mwenye sifa kama zako. Unavutia asikwambie mtu, rafiki yangu kaokota dodo chini ya mnazi. Mtoto umefundwa ukafundika
Mtoto wa mama umekamilika kila idara, una huo mshepu walai, sauti kama ya celine dion, sipati picha hiyo miguno pindi uwapo na rafiki yangu kwa chemba. Tabasamu ulilonionesha jioni hii ya leo limenidatisha sana. Najikuta nakuona wewe pindi ninapozifunga mboni za macho yangu. Ni wewe tu umetaradadi ndani ya moyo wangu
Wakuu, mniombee nipate mwanamke wa kufanana naye. Japokuwa nimekwisha mtumia sms kumueleza duku duku lililo ndani ya moyo wangu kwa maneno niliyoyaandika hapo juu. Ni nusu saa sasa sijajibiwa chochote kitu
Hakika rafiki yangu kapata chomboView attachment 2411570
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu, kizuri kula na mwenzioAisee tafadhali stay away usije kuta unamsifua mke wangu hatujuani humu.
Yule akizubaa tu nitamlima ban arudi kwao kwanzaTukuombee upate mke!!? kwani yule wa kigodoro mmeachana?
Kwanini mkuu? [emoji15]Wakubake tu
mmmmh[emoji276]Hapana, nampenda kutoka moyoni. Lakini ikitokea akafeel kunionjesha sintokataa. Ila nampenda tu kibinadamu
Bora utembee nae tu sababu hata usipofanya hivyo kwa hii tabia yako utalipia tu.Hapana mkuu, lengo langu siyo kumgegeda. Mke wa mtu ni sumu
Napenda tu kuonana naye, just kuuona mwili wake na kuiskia sauti yake japo mara moja tu kwa wiki
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine