Nimetokea kumpenda mke wa rafiki yangu

Nimetokea kumpenda mke wa rafiki yangu

Ana maanisha mumewe akijua atakukula tundu ya nyuma ya trako lako... Wanawake wengi hapa nchini takribani milioni 31 wachana na tamaa nani..
Duh! Ngoja niache mazoea nae, ila akijiingiza box ndo basi, nahama mji
 
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine

Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua kujisafisha na kujipamba, mavazi anayovalia yanampendeza, si mwongeaji kiviile japo ana sura ya ucheshi, hana makuu na mtu, muda wa utani kwake ni wa utani, na muda wa kazi kwake ni wa kazi.

Popote ulipo shemu wangu itoshe tu kusema kuwa NAKUPENDA, nimevutiwa na wewe na ninaamini kuwa ipo siku nitakutana na mwanamke mwenye sifa kama zako. Unavutia asikwambie mtu, rafiki yangu kaokota dodo chini ya mnazi. Mtoto umefundwa ukafundika

Mtoto wa mama umekamilika kila idara, una huo mshepu walai, sauti kama ya celine dion, sipati picha hiyo miguno pindi uwapo na rafiki yangu kwa chemba. Tabasamu ulilonionesha jioni hii ya leo limenidatisha sana. Najikuta nakuona wewe pindi ninapozifunga mboni za macho yangu. Ni wewe tu umetaradadi ndani ya moyo wangu

Wakuu, mniombee nipate mwanamke wa kufanana naye. Japokuwa nimekwisha mtumia sms kumueleza duku duku lililo ndani ya moyo wangu kwa maneno niliyoyaandika hapo juu. Ni nusu saa sasa sijajibiwa chochote kitu

Hakika rafiki yangu kapata chomboView attachment 2411570
Maandiko matakatifu yanatuambia "wala msiikurubie zinaa kwa sababu hiyo zinaa ni uchafu mkubwa sana" pia maandiko yanasema " usizini na wala usimuangalie mwanamke kwa jicho la kumtamani kwa sababu utakuwa umeshazini tayari moyoni. Kwa hiyo rafìki yangu nakusihi kama una imani ya dini yoyote rejea kwa Mungu wako na uombe toba. Acha kabisa (UKOME) sio mchezo mzuri.
 
Usimtamani mke wa jirani yako....... ni dhambi, Mungu amekataza
Kwani kupenda kitu au mtu ni dhambi?
Yaani ni sawa na nimeona nyumba nzuri njiani ikanivutia, kisha kila siku nikawa napita kuitazama nikiamini siku moja nitapata kama hiyo

Ndio kilichonitokea kwa huyu mwanamke, navutiwa tu kumtazama nikiamini kuwa ipo siku nitapata kama yeye. Wala sio kwamba namuhitaji kingono, la hasha!
 
Just kumpenda tu upendo wa kawaida, msije kunihukumu eti labda hivi wala vile. Nampenda tu kama ninavyowapenda watu wengine

Nimempendea upole, ana matamshi safi yasiyo na upuuzi, mrembo, anajua kujisafisha na kujipamba, mavazi anayovalia yanampendeza, si mwongeaji kiviile japo ana sura ya ucheshi, hana makuu na mtu, muda wa utani kwake ni wa utani, na muda wa kazi kwake ni wa kazi.

Popote ulipo shemu wangu itoshe tu kusema kuwa NAKUPENDA, nimevutiwa na wewe na ninaamini kuwa ipo siku nitakutana na mwanamke mwenye sifa kama zako. Unavutia asikwambie mtu, rafiki yangu kaokota dodo chini ya mnazi. Mtoto umefundwa ukafundika

Mtoto wa mama umekamilika kila idara, una huo mshepu walai, sauti kama ya celine dion, sipati picha hiyo miguno pindi uwapo na rafiki yangu kwa chemba. Tabasamu ulilonionesha jioni hii ya leo limenidatisha sana. Najikuta nakuona wewe pindi ninapozifunga mboni za macho yangu. Ni wewe tu umetaradadi ndani ya moyo wangu

Wakuu, mniombee nipate mwanamke wa kufanana naye. Japokuwa nimekwisha mtumia sms kumueleza duku duku lililo ndani ya moyo wangu kwa maneno niliyoyaandika hapo juu. Ni nusu saa sasa sijajibiwa chochote kitu

Hakika rafiki yangu kapata chomboView attachment 2411570
kiu ya dhambi.
 
Back
Top Bottom