ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 488
ongea nae kwa herufi kubwa kama na yeye anakupenda vivyo hivyo
ukisikia kujilipua ndo huku................ lara 1 njoo pande hizi.......oooooh sina bahati............Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
Lara 1 du, ATM Card yako inasomeka???
... Kwanini lakini mnependapenda wake za watu... we ukiniona mi husband wake sina raha unafurahi sio?... shauri yako kuna wenzako kumi mpaka sasa hawana meno ya mbele, sababu ya hizihizi ishu....
Mapenzi hayana macho.
Hahahaha nampenda sana lara1 mkuu
mi nakesha kwenye mshororo huu mpaka ....KUBWA LA MAADUI!!!! (GET RICH OR DIE TRYING!!!!) Lara1 atakapoibuka ......
unaweza kuchanganya kizungu na kiswahili ktk mazungumzo yako?.hicho ndo kitakuwa kigezo cha kwanza akukubari.mengine mbwembwe.