Nimetokea kumpenda lara 1

... Kwanini lakini mnependapenda wake za watu... we ukiniona mi husband wake sina raha unafurahi sio?... shauri yako kuna wenzako kumi mpaka sasa hawana meno ya mbele, sababu ya hizihizi ishu....
 
unaweza kuchanganya kizungu na kiswahili ktk mazungumzo yako?.hicho ndo kitakuwa kigezo cha kwanza akukubari.mengine mbwembwe.
 
Wakuu kwa muda mrefu nimekuwa nikivutiwa sana na huyu binti lara1,nimetokea kumpenda sanaa na natamani awe mke wangu kwa sababu hajaolewa nimempenda sana lara1 natangaza nia ya kumchumbia binti lara1
ukisikia kujilipua ndo huku................ lara 1 njoo pande hizi.......oooooh sina bahati............
 
Last edited by a moderator:
hongera kwa kufunguka ya moyoni.....ukipigwa kibuti uje useme pia.na akikubali kadi kwawana MMU usisahau..
 
unaweza kuchanganya kizungu na kiswahili ktk mazungumzo yako?.hicho ndo kitakuwa kigezo cha kwanza akukubari.mengine mbwembwe.

haswaa hiko ni kipimo cha kwanza
kitu kingne ATM iwe inasoma sio ajibweteke coz lara1 nnaemfahamu mimi ni mtafutaji
lakini pia aweze kuhandle mapigo yake coz huyu dada lara1 sio wa hivhiv
awe fizikali fit na saikolojiko fit coz IQ ya lara1 iko foward sana hiyo ni mitazamo yangu michache japokuwa iko mingi siwezi kuimention hapa.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom