toka shetani, au kwaya ya TOT nini ila kama ya kuhubiri neno inili na kumwimbia mungu, ushindwe katika jina la yesu
du!kama una roho ngumu jikaze na ufunguke umwambie,japo kwa sisi waafrika haijazoeleka kumuanza mwanaume kumwambia unampenda,mana kama mwanaume ana uelewa mdogo atakuona malaya na umejiunga kwaya ili kumnasa yeye na si vinginevyo.
Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
Jaribu kuanza kwa kuongelea mambo mengine tu, then pol pole muulize what he thinks about wanawake wanao jitokeza kwa wanaume. Unaeweza shangaa akakwambia hana shida na hilo, au anaweza kusema it's a turn of, in which case itabidi umtumie ujumbe kwa ishara mbali mbali.Na ndicho ninachoogopa, mbaya zaidi anategemea kufunga ndoa miezi michache ijayo.
kanisani kuna taratibu zake ila huyo yupo ki- uzinzi zaidi, kama huamini anza kuimba kwaya uone watu wanavyo gegedanasasa unasema ashindwe kwa jina la yesu, kwani wachumba huwa wanapatikana wapi kama sio kwenye social gathering!!!!!!!!!!!au wewe ungependa akatafute mchumba club au bar?kuna kosa gani mtu kumpenda mwana kwaya mwenzie jamani?
Habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
habari wana jf, hivi karibuni nimejiunga na kwaya, kuna kaka mmoja nimetokea kumpenda lakini nashindwa nianzie wapi kumwambia yaliyo ndani ya moyo wangu. Hebu nipeni ujuzi wana jf, mwanamke unaanzaje kumwambia mwanaume unampenda, natamani tuwe tu marafiki wa kawaida wa kuchart not otherwise, sasa nitumie njia gani kumwambia, wote ni viongozi kwenye jumuiya lakini dah nashindwa pa kuanzia.
Mwanakwaya Mzinzi