Nimetokea kukupenda Sana

Waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba
 
Amenifanya kama 'spea tairi' wadhani nitamsamehe!!!!

HAPANA KABISA kumbuka kabla sijaamua kuja kwako nilikuwa nikimfuatilia D.zarde .Nilianza kumfuatilia D.zarde baada ya D.zare kunipiga chini ndo ni kaamua nije kwako LAKINI KIUKWELI hata na wewe nakupenda lakini D.zarde Nampenda zaidi kama sitafanikiwa kumpata D.zarde basi naomba tuuboreshe upendo wetu na punguza kupenda hela ukifanya hivyo huenda nitakuja kumsahau D.zarde kabisa.
 

Unavyofunguka kama vile unampenda kweli....
 

unataka nikwambie nini?
 

hahahaaaaaaaaaa.... we endelea huko huko... mie huku nshakuhama.. naenda kwa Himidini ingawa sielewi namuanzaje....
 
Last edited by a moderator:
Shauri ako we na hilo likichwa sijui la nini ndo maana sikupendi....
weka avatar ya handsome uone nitakavokuhangaikia pm

Haha, wenye avatar mbaya ndo wazuri basi.

Ila wenye urembo mwingi ni wabaya, fanya kautafiti kadogo tu utakuja niambia
 
kuna nini hapa mbona sielewi

Kuna mdada nampenda sana humu jamvini najaribu kila aina ya njia kumfikishia ujumbe lakini hanielewi.Cha ajabu na cha kusikitisha kanipiga marufuku ku mention ID yake humu
 
hahahaaaaaaaaaa.... we endelea huko huko... mie huku nshakuhama.. naenda kwa Himidini ingawa sielewi namuanzaje....

Usiende kwanza subiri D.zarde anipe majibu.Kama akinipa jibu zuri leo nitakuacha uende kwa amani lakini kama D.zarde akiendelea na msimamo wake wa kutokunipenda basi itanibidi nije kwako rasmi .USIENDE KWANZA SUBIRI KWANZA D.zarde anifikirie kwa mara ya mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja na mie nianzishe uzi wa kumpenda paw wangu. Manake malavidavi yamenikolea haswa
 

hahahahahah Uwiiiiiiiii HII POST IMEKUAJE SIKUIONA UWIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…