Nimetokea kukupenda Sana

Barua ya mapenzi hiyo, haya kila la kheri

Ipo kavukavu mno,hata kuzungumzia masuala ya ankara kashindwa! Sidhani kama ataeleweka,kwa namna wanavyohusudu pochi hawa watu,sijui.
 
Kwan wewe mgeni hili jukwaa
Unauliza makofi kituo cha polis

Sio nauliza makofi polisi kwasbb pia polisi unaweza upigwe virungu au mabuti badala ya makofi,mi ni kwamba naona kama jamaa anajipa matumaini while njia anayoitumia haitamfikisha atakako kufika...
 
wa dada wa MMU musituangushe, muhusika huruma yako inahitajika jamaa ndo hivo tena
 
Kwa aina hii ya uandishi wala hutampata huyo mwanamke/binti! Matatizo kibao, uwe unaacha nafasi kilka unapoanza sentensi mpya (baada ya nukta), yaani hadi napata makengeza! Na ni haki PM zako hazikumvutia, lol! Sijui ni King'asti, Evelyn Salt, Smile, mwallu?
 
Last edited by a moderator:
Matumaini ya "Kenge" kuwa siku moja atakuwa "Mamba".
 

Mimi nia yangu ilikuwa nikumfikishia ujumbe tu makosa ya kiuandishi hayana tija.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…