SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
- #21
hahaha Aiseeee
Mkuu sasa hii njia unafikiri hitasidia hata kidogo?
Sasa utasaidiwa vipi?
Mkuu kama ni akanana wangu unaye muongelea hapa na kuhakishia utapotea kwenye hili jukwaa!life ban ina kuhusu
Kama ni yeye na kushauri ufute huu uzi!
Kila la kheri!
Nahisi hii njia inaweza kusaidia kidogo maana KILA NJIA NILIYOJARIBU KUITUMIA KUMFIKISHIA UJUMBE HAIJAFANIKIWA mara nyingi anakuwa yuko online lakini hataki kuwasiliana na mimi .LABDA AKIJA HUKU AKIKUTANA NA HUU UJUMBE ANAWEZA KUBADILIKA