Nimetoka uwanja wa Samora, Diamond kaacha gumzo

Mbona mnamtaja diamond tu kwani msanii alikuwa pekee yake mibongo bhana.Rich mavoko,Rayanav,qdalin,homonza hawakuwepo
 
Diamond ameshawaona watu ni maboya kwa hiyo anawapeleka anavyotaka yeye ila hiyo pesa ni kubwa sana kwa mtanzania mwenye kipato cha chini
 
Mbona kama unaongea na mtu ..ni nani ...yan kama unajibizana na mtu ama nitumie lugha kua unamtambishia mtu ambae hajulikani kwaio kwa hii thread ningetegemea tu pongezi kwake dogo lakin mnatambishia wengine sjui kwa sbabu gan
pongez inatosha tu
Yes,nawatambishia wale wanaojiita timu muziki mzuri,vipi nimevunja sheria ya nchi au ya JF .......Kama vipi wewe fanya hivo ulivyonilekeza mimi si lazima na mimi niandike vya kufanana na wengine.
 
Mbona mnamtaja diamond tu kwani msanii alikuwa pekee yake mibongo bhana.Rich mavoko,Rayanav,qdalin,homonza hawakuwepo
Kama wao hawawataji, basi wewe tumia nafasi hiyo kuwataja,si lazima wote muwaze sawa.
 
Back
Top Bottom